Epuka matapeli. Kamala Harris hamjui msanii yoyote kwenye playlist inayozunguka

Epuka matapeli. Kamala Harris hamjui msanii yoyote kwenye playlist inayozunguka

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Huo ni mchongo wa kuokota trend songs za wiki hii huko apple music kisha unadanganya waafrica. Hauitaji kuwa genius kuona ilo.

Wabongo tupige kazi tuufikishe mbali muziki wetu safari yetu bado ni ngumu. Huyu mmoja anaetuwakilisha nje siku hatokuwepo na tutarudi enzi za dharau.
Say no tu janja janja Kamala hamjui yoyote kwenye hiyo list.
 
Mimi nachojua kuna wazanzibar wenzetu
Wawili hapo wanaskilizwa na Makamu wa dunia😅😅😅😅
 
Sasa asikilize kumfinyia kwa ndani ndo nini? Hamjui watu wanasikiliza wimbo baada ya kuwa translated wajue wanasikiliza nini..
 
""Kwa chuki na wivu ulikuwa nao,, Sinza Si Pazuri kwako kwa sasa wameshakuharibu ndugu yetu Sinza Pazuri!!!
 
Back
Top Bottom