Epuka matapeli. Kamala Harris hamjui msanii yoyote kwenye playlist inayozunguka

Epuka matapeli. Kamala Harris hamjui msanii yoyote kwenye playlist inayozunguka

Huo ni mchongo wa kuokota trend songs za wiki hii huko apple music kisha unadanganya waafrica. Hauitaji kuwa genius kuona ilo.

Wabongo tupige kazi tuufikishe mbali muziki wetu safari yetu bado ni ngumu. Huyu mmoja anaetuwakilisha nje siku hatokuwepo na tutarudi enzi za dharau.
Say no tu janja janja Kamala hamjui yoyote kwenye hiyo list.
Asee na mimi niliwaza Kamala huyu huyu au Kamala wa Manzese
 
Sasa asikilize kumfinyia kwa ndani ndo nini? Hamjui watu wanasikiliza wimbo baada ya kuwa translated wajue wanasikiliza nini..
Eti nyimbo zina matusi kibao mara inama ikalie ujinga mtupu hata mbele ya watoto huwezi sikiliza nyumbani.
 
Back
Top Bottom