GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Namshukuru Mungu iko vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namshukuru Mungu iko vizuri.
Asee na mimi niliwaza Kamala huyu huyu au Kamala wa ManzeseHuo ni mchongo wa kuokota trend songs za wiki hii huko apple music kisha unadanganya waafrica. Hauitaji kuwa genius kuona ilo.
Wabongo tupige kazi tuufikishe mbali muziki wetu safari yetu bado ni ngumu. Huyu mmoja anaetuwakilisha nje siku hatokuwepo na tutarudi enzi za dharau.
Say no tu janja janja Kamala hamjui yoyote kwenye hiyo list.
Eti nyimbo zina matusi kibao mara inama ikalie ujinga mtupu hata mbele ya watoto huwezi sikiliza nyumbani.Sasa asikilize kumfinyia kwa ndani ndo nini? Hamjui watu wanasikiliza wimbo baada ya kuwa translated wajue wanasikiliza nini..