sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Sawa Kamala anamskiza jay melody 😂😂
Kuna mambo unaacha tu yakupite sio mambo yakoMkuu em kunywa kwanza maji ushushe pumzi urudi kutuelezea Kamala kafanyaje?
Kuna nini kwanza?
Ulitaka akusikilize wewe? Wewe kubali tu hajatwaja huyo mtu wako list iwe ya uongo ama ukweli. Diamond ni mwanamuziki mzuri mie mwenyewe namkubali lkn sio lazima awepo kila sehemu.Sawa Kamala anamskiza jay melody [emoji23][emoji23]
Ngoja niutafute ule uzi nikutag.Kuna nini kwanza?
Maana naona Kamala, playlist, Diamond.
Sielewi.
[emoji2][emoji2]Nakuunga mkono mkuu haiwezekani jamaa yetu Simba asiwepo kwenye listi[emoji23][emoji23]
Hukuupata?
Mbona nilikutag siku ile ile. kushea link humu nashindwa ningeshea hata sasa.Hukuupata.
Sikuona tag, labda nirekebishe notf..Mbona nilikutag siku ile ile. kushea link humu nashindwa ningeshea hata sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko poa, habari ya wewe??Sikuona tag, labda nirekebishe notf..
Mzima lakini?
Nzuri kabisa.