nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Kwa ufupi marafiki wa namna hii wanaweza kukusaliti muda wowote kwa maslahi yao binafsi, narudia tena epuka kuwa na marafiki wa namna hii ambao wakiona hela akili zao hubadilika na kuwa kama wehu utanishukuru siku moja.
Na marafiki wa namna hii wengi wao wakishika fungu basi pombe na wanawake ndio hutawala akili zao kwa 100% waepuke sana katika maisha yako.
Na marafiki wa namna hii wengi wao wakishika fungu basi pombe na wanawake ndio hutawala akili zao kwa 100% waepuke sana katika maisha yako.