Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]! Nimecheka sana kwa comment hii.Hivi kwa nini watu wanataka kukomzana na nature? Sasa unataka mwanaume akipate hela atumie kwa ajili gani sio kama sio atumie kupata wanawake? Hela unatafuta ili mwishoe uje tuu utumie kwa mwanamke.
Comment yako imebeba point kubwa.
Ukweli ni kwamba watu wengi 'term' wanawake wanachukulia kuwa ni malaya, lakini kumbe hata kama hela yako yote unaitumia kutunzia mkeo, basi hela hiyo unaitumia kwa wanawake!