Mkuu siyo marafiki tu hata ndugu na wake zetu, ukirudi na fungu, unawekewa chakula mezani na kukaribishwa kwa heshima... aliyeimba pesa sabuni ya roho alistahili tuzo.Kwa ufupi marafiki wa namna hii wanaweza kukusaliti muda wowote kwa maslahi yao binafsi, narudia tena epuka kuwa na marafiki wa namna hii ambao wakiona hela akili zao hubadilika na kuwa kama wehu utanishukuru siku moja.
Hivi kwa nini watu wanataka kukomzana na nature? Sasa unataka mwanaume akipate hela atumie kwa ajili gani sio kama sio atumie kupata wanawake? Hela unatafuta ili mwishoe uje tuu utumie kwa mwanamke.Kwa ufupi marafiki wa namna hii wanaweza kukusaliti muda wowote kwa maslahi yao binafsi, narudia tena epuka kuwa na marafiki wa namna hii ambao wakiona hela akili zao hubadilika na kuwa kama wehu utanishukuru siku moja.
Na marafiki wa namna hii wengi wao wakishika fungu basi pombe na wanawake ndio hutawala akili zao kwa 100% waepuke sana katika maisha yako.
Siku hizi balaa, wanaimba huku wanajishika viungo vya uzazi hadharani bila hayaMziki wa zamani ulikuwa na mafunzo sana ndani yake