[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]! Nimecheka sana kwa comment hii.
Comment yako imebeba point kubwa.
Ukweli ni kwamba watu wengi 'term' wanawake wanachukulia kuwa ni malaya, lakini kumbe hata kama hela yako yote unaitumia kutunzia mkeo, basi hela hiyo unaitumia kwa wanawake!