Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,530
Nasemaje, hawa papasi mwisho wao 28 Oct!Wanatia huruma na kusikitisha sana. Leo wanasema Eti watafufua viwanda vya ufi na urafiki wakati miaka yote wapo madarakani na Sera zao mfu ndo zimesababisha viwanda hivyo kufa na maelfu ya watu na vijana kukosa ajira
Chadema imeshindwa kujinadi kwa sera zinazowafaa watanzania. Ndio maana uchaguzi wa mwaka huu Chadema itashindwa kwa mara nyingine tena. Inabidi uchaguzi wa 2025 Chadema watafute sera zinazotatua changamoto za maisha ya kila siku ya watu wa kawaida.
Sema watashinda kwa kishindo kwani upande was pili sio tu wamefilisika Sera,Bali wameamua kuwaudhi kabisa waajiri wao,au wapigakura wao. Wapigakura wamekasirika na tumeanua mwisho wao ni siku kumi na tano zijazo ,Oct.28.Chadema imeshindwa kujinadi kwa sera zinazowafaa watanzania. Ndio maana uchaguzi wa mwaka huu Chadema itashindwa kwa mara nyingine tena. Inabidi uchaguzi wa 2025 Chadema watafute sera zinazotatua changamoto za maisha ya kila siku ya watu wa kawaida.
Uwazi na Uhuru ukiwepo! Vinginevyo tujiandae kisaikolojia kwa yale tutakayotendwa!!!Tumeshajua NEC wamesimamia wapi. Ila nguvu ya umma iliyopewa kibali na Mungu mwaka huu ndo itaamua nani awe Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025