Equator Msalaba wamuangukia padre kanisani na kumfanya azimie

Ni kweli hakupona
Wewe uangukiwe na huo msalaba wenye ukubwa huo ni sawa umeaangukiwa na Jiwe zito kweenye kifusi kupona na kudra za Mwenyezi ila asilimia ni chache hapo hakuomba hata maji ya kunywa hata kusema neno la mwisho hakusema umeona ilipolenga juu ya utosi unajua kuhesabu nyota za angani?
 
Mwisho wake wa kusikitisha Sana, alafu ni ghafla
 
Back
Top Bottom