Equator Msalaba wamuangukia padre kanisani na kumfanya azimie

Equator Msalaba wamuangukia padre kanisani na kumfanya azimie

Kwa kipigo hicho, huyo mtu alipona kweli?
Ipo hivi;

Ukiiaangalia hio video usiangalie msalaba muangalie huyo father, utagundua kitu fulani kwamba baada ya kuvua kiwani na kusafisha macho alisogea kidogo akakaa usawa wa msalaba kuanguka kisha akaweka mikono mezani na hapo hapo msalaba ukamshukia kichwani, kuna kanamna fulani hivi wewe rudia kuangalia utaona kitu
 
Mada ya Mahubiri Yake ya Mwisho:
Dakika chache kabla ya ajali hiyo, Padre Sánchez alikuwa akihubiri kuhusu Injili ya Mathayo 22:21 ("Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu").

Katika mahubiri hayo, alizungumzia kwa kina kuhusu kifo, thamani ya muda, na umuhimu wa mwanadamu kuwa tayari wakati wote mbele za Mungu.
Kutokea kwa kifo chake mara baada ya maneno hayo kumewafanya wengi kuona kama alikuwa akikiandaa kiroho chumba cha waumini wake, ingawa hakuna uthibitisho kuwa alijua nini kingemtokea
 
kwa kweli sisi zetu ni dua tu. ilisikika sauti ya bwana mmoja aliekua amevaa msuri na barakashia
 
TUsizue taharuki wakuu__huyo padre kapendwa na mungu na hayo ndio mapenzi ya mungu_____🎵:Atakua amekwisha tanguliaa,kumlaki Bwana yesu mawinguni"🎧🎵
 
Back
Top Bottom