Kwa kipigo hicho, huyo mtu alipona kweli?
Sababu ulikuwa ni usiku na muda huo alikua anashughulika na habari zingine
Mie story za uchawi ndio kabisa siamini aiseeπ€£π€£π€£
Uchawi huo mpaka Church, aisee kuna msaidizi wa Mchungaji fulani kanisa lipo Tabata nilimuona kwenye dole gumball ana Chale mbichiii zinavuja damu na kuna unga mweusi-mwaka 2013π
Ni kweli hakuponambona kuna nyuzi hapa jamaa alivuta?
Wewe uangukiwe na huo msalaba wenye ukubwa huo ni sawa umeaangukiwa na Jiwe zito kweenye kifusi kupona na kudra za Mwenyezi ila asilimia ni chache hapo hakuomba hata maji ya kunywa hata kusema neno la mwisho hakusema umeona ilipolenga juu ya utosi unajua kuhesabu nyota za angani?Ni kweli hakupona
Siamini kabisaHuamini story ya msaidizi wa Mchungaji alikuwa ana Chale mbichi kwenye vidole ? π€£
Mwisho wake wa kusikitisha Sana, alafu ni ghaflaWewe uangukiwe na huo msalaba wenye ukubwa huo ni sawa umeaangukiwa na Jiwe zito kweenye kifusi kupona na kudra za Mwenyezi ila asilimia ni chache hapo hakuomba hata maji ya kunywa hata kusema neno la mwisho hakusema umeona ilipolenga juu ya utosi unajua kuhesabu nyota za angani?