Equinor writes off Tanzania liquefied natural gas project

Kumbe hua unafuatilia midahalo yangu ni vyema,Nilisema ndio lakini naendelea kusema...Italy wanakipato kikubwa sio Sawa na nchi kama hizi zetu...Lazima wakubwa waangalie tusiumizane sana...Nakazia tena tusiumizane wawe waangalifu

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Nilihitaji kukujibu wewe Brother Tony mkenya

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 

Mimi naomba waje wengi wapitishe barabara nyingi juu kwa juu tuzilipie hata mikataba ya miaka 50, uchumi unahitaji sana miundo mbinu inayoteleza, ugavi na manunuzi kwenye makampuni, usafirishaji, pia usafiri wa wajasiria mali ni jambo la maana sana kuwawahisha wanakokwenda.
Unakuta unataka uwahi mteja mwenye dili kubwa la kufa mtu, na hamna usafiri wa uhakika, iwe kwa gari lako, taxi, mabasi hamna kabisa, umeganda kishenzi, huwa nachukia mpaka najikuta nikiongea mwenyewe na kutukana......hehehe
 
Ni sawa nakubaliana nawe kwamba tusiumizane. Kumbuka watu hohe hahe hawatatumia barabara hii. Yaani namaanisha watembea kwa miguu, wasukuma toroli na mkokoteni na waendesha pikipiki. Kimsingi nachomaanisha ni kwamba masikini nao hawajasahaulika wataendelea kutumia leni za chini na itakuwa bure bilashi hakuna kulipia. Leni za juu za kupeperuka kama ndege ni za mabwenyenye wenye magari zao. Sasa bwenyenye mwenye uwezo wa kununua gari mpya ya ksh 1 million atashindwaje kulipa ksh 200 au ksh 300 kutumia baraste laini ambalo halina jam? Tajiri hafinywi na wala hakandamizwi kuagizwa kulipa ksh 300 kutumia barabara. Halafu tajiri mkono gamu ambaye hataki kulitumia expressway hatalazimishwa kulitumia. Sasa unaposema kwamba Wakenya wanafinywa nashindwa kukuelewa maana barabara hii sio ya masikini. Naomba uelewe hio point maana ni point muhimu sana. Ukilielewa hutarudia tena kusema kwamba Wakenya wanakandamizwa na mikataba katili. Bwenyenye afadhali alipe ksh 1,000 lakini afike haraka anakokwenda.
 
Ni kweli kwamba tunahitaji more expressways. Ila hili jinamizi la msongamano wa magari soon tutalitupa kwenye kaburi la sahau.
 
Toll fees ziendane na uchumi unadhani kununua ndinga ya tsh 23M ndio kua mtamu?tena hapa mjini DAR nmegundua watu sikuhz wanadrive zaidi tar Za mwisho Wa mwezi na weekend Daah Magu amebana mbaya kabisa...
Yawezekana uko kwenu vibunda mnavyo hamkaukiwi ila uku kwetu Kim mda Mambo yanabana jumlajumla unakosa hata hela ya bia

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Jaribu kutembea Nairobi ndio utajuwa kwamba Kenya ni capitalist country. Range rover na prado ziko nyingi tu. Kenya ina wealthy class kubwa. Sikatai kwamba Kenya pia ina masikini wengi ila Kenya ina matajiri wengi. Nyinyi Watanzania mna income inayokaribia kutoshana. Yaani gap kati ya Tajiri na masikini sio kubwa sana huko kwenu ukilinganisha na Kenya. Kiuchumi tunatumia kigezo kinachoitwa gini coefficient kuangalia gap kati ya masikini na matajiri. Nchi za kibepari zina gap kubwa kati ya matajiri na masikini na za kisosholisti zina gap ndogo kati ya matajiri na masikini. South Africa ndio nchi yenye gap kubwa zaidi kati ya matajiri na masikini kwa maana wazungu ambao ni 5% of the population wanamiliki 70% of the land and more than 70% of the capital and industries. Kisha blacks ambao ni wengi wanamiliki shamba kidogo na capital kidogo. Kwa hivyo Kenya ina matajiri wa kutosha wa kutumia barabara hili. Halafu hata sio lazima uwe tajiri ili utumie barabara hili. Ksh 300 ni pesa kidogo sana na hata Mkenya wa kawaida hawezi kushindwa kuipata hususan ikiwa amechelewa kazini au amechelewa airport au amechelewa kwenye job interview. Yaani ukatae kutoa mia tatu tu kisha uchelewe unakokwenda? Utapoteza interview ukichelewa, au ndege itakuwacha kwenye airport ukichelewa. Jam ni shetani na imefanya watu wengi wapoteze kazi nzuri nzuri au wawachwe na ndege. Usilichukulie jambo hili la jam kirahisi tu.
 

Stop stooping so lowly by being so childish and stupid.

Talking about Range Rovers! why not talking about how much is being lost on a daily basis through corruption?

It's almost impossible for Kenyans to rise above many of their societal challenges (such as: landlessness, higher levels of violent crime and corruption, tribalism) owing to their stupid mindset of worshipping and co-signing their tormentors.

What a sad state of affairs!
 
Uyo fara unapoteza muda, that's a paid troll
 

PPP ni njia nzuri ya kushirikisha private sector kwenye infrastructure investment. Tatizo ni Terms and Conditions of those PPP contracts. Ueledi na uzalendo unahitajika sana. Kwa nchi kama kenya ambayo imeathirika sana na rushwa, PPP inaweza kuwa shida sana.
 
Ukiachana na lugha kwanza tayari nyinyi ni wavivu wa kupindukia
 
Matusi inakusaidiaje?
 
Mzee haya uyasemayo ni ya kweli au na wewe unataka kusema jiwe kabana sana hata huwezi fanay mishe mishe zako(side hustle) angalau ukapata kakitu
 
Mimi ninajua terms za PPP zingine. Kuna barabara na hata madaraja za Italy ambazo zinalipisha toll for 30 years. Huo ujinga wenu wa kusema kwamba 30 years ni muda mrefu ni upumbavu mtupu. Uzuri hamuwezi kutudanganya.
 
Mzee haya uyasemayo ni ya kweli au na wewe unataka kusema jiwe kabana sana hata huwezi fanay mishe mishe zako(side hustle) angalau ukapata kakitu
Kabana ndio mkuu ukipata pesa sahv uende nazo kwa adabu maana namna ya kuipata ni Kwa mbinde. ...Kwa sasa kodi kila kona maisha fulani hatukuyazoea na deals za hapa na pale nazo zimekua ngumu....Gaps Dar ilifika hatua ukitaka nyumba ya kupanga unatakiwa utoe kodi miezi 6 nakuendelea ila sasa hivi unapokelewa na hela ya miezi 3 tu
 
Hahaha!!fanya biashara mzee baba kazi za mwisho wa mwezi sio za kuzitegemea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…