tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Kumbe hua unafuatilia midahalo yangu ni vyema,Nilisema ndio lakini naendelea kusema...Italy wanakipato kikubwa sio Sawa na nchi kama hizi zetu...Lazima wakubwa waangalie tusiumizane sana...Nakazia tena tusiumizane wawe waangalifuHata huko huko kwenye kingereza pia kina umuhimu ukitaka tukomae nacho, nilikua najaribu kutafuta nini haswa kinakusibu, maana unaparamia vyote hadi sikuelewi ipi ndio hoja yako.
Suala la Expressway usihoji chochote naisubiri kwa hamu sana, kazi zitafanyika sasa, nchi tunaingiza hasara sana kwa haya mafoleni, yaani maelfu ya watu wanaganda barabarani hawazalishi.
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app