Ukumbuke tuliwatangulia ndio manake usije ukakuta tumevuka tenaNyie mngekua smart sana simngekua developed country na mbona mko kundi moja na watanzania wavivu basi
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Vision yenu ya 2030 bado mnamiaka 9 pambaneniUkumbuke tuliwatangulia ndio manake usije ukakuta tumevuka tena
hapana bana hawa wapo kundi1 na zimbabwe na burundi em tutakeradhi bana.....Nyie mngekua smart sana simngekua developed country na mbona mko kundi moja na watanzania wavivu basi
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Ni wivu tu, wanaelewa kuhusu ppp model of project financing.,Wewe mwenyewe ndio juzi ulisema kwamba nchi haiwezi kuendelea ikiwa itategemea serikali pekee yake kujenga barabara. Ulisema kwamba serikali lazima iruhusu private sector kujenga barabara. Sasa itakuwaje tena PPP imekuwa ya kinyonyaji. Hata Italy wana barabara za PPP na wanalipa toll fees. Na muda wa mkataba ni 30 years hata huko.
Mikataba mlisaini wenyewe bila kumakinika, ukipewa limkataba lenye kurasa 800 na limeandikwa kwa kingereza unaomba wapi pa kutia saini tu, mnaishia kuliwa miaka yote hii, na hata mkiwehuka leo sioni kikubwa mtakachokifanya zaidi ya makelele, makinikia mlizungushana humu humu na leo sijui nini cha maana mlichokuza baada ya makelele yote hayo.
Sisi ni tajiri Sana ndugu zangu,mwambieni sasa Magu achimbe na auzeWakaribisheni kwenu sisi hatutaki busara ya upande mmoja
kwamba sisi ndio tuwe na busara! vipi kuhusu wao?
Mimi ninajua terms za PPP zingine. Kuna barabara na hata madaraja za Italy ambazo zinalipisha toll for 30 years. Huo ujinga wenu wa kusema kwamba 30 years ni muda mrefu ni upumbavu mtupu. Uzuri hamuwezi kutudanganya.
Matusi inakusaidiaje?
Between me and you who is stupid?There are no profanities in my post. I simply stated the obvious as manifested in your attitudes.
How do you alternatively describe "stupidity"?
Tujiulize nchi za kiafrika ambazo zilitawaliwa hata wajue kuongea, kuandika,kuimba, kughani mashairi poems, kutumia lugha hizo shule ya kindergarten,msingi, shule ya upili junior na senior, university mpaka mahakamani kwa Kifaransa, Portuguese, Kiingereza au Kihispaniola safi cha mkoloni wao bado kwenye mikataba wanaliwa vibaya, tatizo ni nini MK254 ?
How could Tanzania be able to attain $Billions from FDI if she never have had an environmentally friendly policies?exactly, and in this 21st century wana amini watafaulu kiuchumi., hiyo ni ndoto.,
Between me and you who is stupid?
Sijui kuhusu mataifa mengine, ila nina uzoefu na nchi yangu, kingereza kimetusaidia parefu maana haya mataifa yetu tumepokezwa miaka 50 iliyopita, mifumo ya kila kitu ikiwa kwenye kingereza, hatuwezi kujilinganisha na Wachina ambao lugha yao wameitumia zaidi ya miaka 500 tena viwandani.
Kingereza hakiepukiki, mpaka siku tutaanza kufanya kila kitu wenyewe na kuacha kuagiza hadi sindano na tutakua na jeuri ya kukitupa kule nje, juzi nilifungulia online FM ya Dar, sukumbuki ilikua ipi, nilikua na kusudi la kuskliza ngoma zenu za Kibongo, ila ghafla ikaja mada fulani iliyokua inajadili kwanini marefa wenu hawapewi nafasi za kimataifa, akapewa refa mmoja aseme, alitiririka namna wanateseka kwa kutokujua Kingereza.
Unakuta mtu anapewa uenyekiti wa kikao ambacho kinaendeshwa kwa lugha ya Kingereza, anaganda hajui aseme nini.
Binafsi nakipenda sana Kiswahili, marafiki zangu wote hata kazini wote wananijua nilivyo mzalendo wa Kiswahili, maana huwa nang'ang'ania kukitumia muda mwingi, ila huwa sichelewi kutambua umuhimu wa Kingereza panapostahiki, lazima busara itumike.
Kujua lugha ya kigeni na kuimudu ni muhimu sana.
Lakini pamoja na kuzijua lugha za kiingereza, kihispaniola, kifaransa na kireno bado nchi za kiAfrica hazijapiga maendeleo makubwa, haziwezi kusaini mikataba inayotoa mazingira ya win-win, haziwezi kuna na maendeleo endelevu ktk uchumi, afya , viwanda , utafiti (R&D), sayansi na teknolojia ili zitumike kuvusha nchi hata moja ya kiafrica iwe kama Singapore, Malaysia au Koroea ya Kusini .
MK254 tatizo ni nini katika nchi hizi zaidi ya 51 barani Afrika, kwanini angalau nchi 3 au nne zingefikia maendeleo ya Korea ya Kusini hakuna barani Afrika?
www.ft.com
The Big Read: African economy: the limits of 'leapfrogging'
View attachment 1706916
12 Aug 2018 — When in that year, MTN, a South African telecoms ... and countries such as Singapore, Taiwan, South Korea ...
View attachment 1706917link.springer.com › chapter
Applicability of the Korean Development Model for Africa ...
by JD Park · 2019 · Related articles
1 Jan 2019 — Unlike many African countries, Korea is resource-poor and has unfavourable natural conditions. Africa, with its vast arable land, fertile soil and abundance of natural resources, has all the more reason to be enthusiastic and focused on rural-agricultural developmen........
Sub-Saharan African countries are still grappling with the issue of how to tackle poverty and move up the economic ladder. For any poor country wanting to break out of its lot and join the ranks of rich nations, realizing structural, wide-ranging and continuous changes in all sectors is a necessity.....
Mengine yanayochangia ni mambo ya kawaida ikiwemo kukosa uzalendo, kutanguliza tamaa na pia kukosa mifumo ya kuwajibishana ipasavyo pale tunapoboronga.