Equinor writes off Tanzania liquefied natural gas project

Wewe mwenyewe ndio juzi ulisema kwamba nchi haiwezi kuendelea ikiwa itategemea serikali pekee yake kujenga barabara. Ulisema kwamba serikali lazima iruhusu private sector kujenga barabara. Sasa itakuwaje tena PPP imekuwa ya kinyonyaji. Hata Italy wana barabara za PPP na wanalipa toll fees. Na muda wa mkataba ni 30 years hata huko.
Ni wivu tu, wanaelewa kuhusu ppp model of project financing.,
 
Mikataba mlisaini wenyewe bila kumakinika, ukipewa limkataba lenye kurasa 800 na limeandikwa kwa kingereza unaomba wapi pa kutia saini tu, mnaishia kuliwa miaka yote hii, na hata mkiwehuka leo sioni kikubwa mtakachokifanya zaidi ya makelele, makinikia mlizungushana humu humu na leo sijui nini cha maana mlichokuza baada ya makelele yote hayo.

Tujiulize nchi za kiafrika ambazo zilitawaliwa hata wajue kuongea, kuandika,kuimba, kughani mashairi poems, kutumia lugha hizo shule ya kindergarten,msingi, shule ya upili junior na senior, university mpaka mahakamani kwa Kifaransa, Portuguese, Kiingereza au Kihispaniola safi cha mkoloni wao bado kwenye mikataba wanaliwa vibaya, tatizo ni nini MK254 ?
 
Aisee ila hakika walipoteza pesa nyingi sana kuanzia staff, tafiti n.k. Ni uchungu mkubwa.
 
Mimi ninajua terms za PPP zingine. Kuna barabara na hata madaraja za Italy ambazo zinalipisha toll for 30 years. Huo ujinga wenu wa kusema kwamba 30 years ni muda mrefu ni upumbavu mtupu. Uzuri hamuwezi kutudanganya.

Huu mchezo hauhitaji hasira bro. N by the way, you are talking with one of renown PPP experts. At this stage, kenya should borrow a leaf or two from Singapore. Leave alone italia's cases. If you double deep in Singapore PPP experience, you will learn a lot on how prepare toll policy, toll laws, who is responsible to manage the toll road, toll facilities etc. Hata ukienda Dar utakuta Nyerere toll bridge. Kajifunzeni kule namna walivyofanya.
The challenging part of PPP is how to structure it, appropriate risk allocation, balancing financial and non financial covenants btn contracting parties. If fair deal is closed, then both parties will benefit from the project and the public will enjoy the delivered facility.
 
Tujiulize nchi za kiafrika ambazo zilitawaliwa hata wajue kuongea, kuandika,kuimba, kughani mashairi poems, kutumia lugha hizo shule ya kindergarten,msingi, shule ya upili junior na senior, university mpaka mahakamani kwa Kifaransa, Portuguese, Kiingereza au Kihispaniola safi cha mkoloni wao bado kwenye mikataba wanaliwa vibaya, tatizo ni nini MK254 ?

Sijui kuhusu mataifa mengine, ila nina uzoefu na nchi yangu, kingereza kimetusaidia parefu maana haya mataifa yetu tumepokezwa miaka 50 iliyopita, mifumo ya kila kitu ikiwa kwenye kingereza, hatuwezi kujilinganisha na Wachina ambao lugha yao wameitumia zaidi ya miaka 500 tena viwandani.
Kingereza hakiepukiki, mpaka siku tutaanza kufanya kila kitu wenyewe na kuacha kuagiza hadi sindano na tutakua na jeuri ya kukitupa kule nje, juzi nilifungulia online FM ya Dar, sukumbuki ilikua ipi, nilikua na kusudi la kuskliza ngoma zenu za Kibongo, ila ghafla ikaja mada fulani iliyokua inajadili kwanini marefa wenu hawapewi nafasi za kimataifa, akapewa refa mmoja aseme, alitiririka namna wanateseka kwa kutokujua Kingereza.
Unakuta mtu anapewa uenyekiti wa kikao ambacho kinaendeshwa kwa lugha ya Kingereza, anaganda hajui aseme nini.
Binafsi nakipenda sana Kiswahili, marafiki zangu wote hata kazini wote wananijua nilivyo mzalendo wa Kiswahili, maana huwa nang'ang'ania kukitumia muda mwingi, ila huwa sichelewi kutambua umuhimu wa Kingereza panapostahiki, lazima busara itumike.
 
exactly, and in this 21st century wana amini watafaulu kiuchumi., hiyo ni ndoto.,
How could Tanzania be able to attain $Billions from FDI if she never have had an environmentally friendly policies?

I can only take you serious if you come up with suggestions of relaxing some restrictions to ameliorate the volume of investments.

BTW, Kenya that, according to your silly supposition, have this very attractive investment policies - how is it then, in 2021 an ordinary decent meal a day is still luxury to 8 out of every 10 Kenyans?
 
Between me and you who is stupid?

Could be both of us.

But in this context, you are the stupid one for failing to answer simple question (how do you alternatively describe "stupidity"?), either due to your inability or inhibition.
 
Sijui kuhusu mataifa mengine, ila nina uzoefu na nchi yangu, kingereza kimetusaidia parefu maana haya mataifa yetu tumepokezwa miaka 50 iliyopita, mifumo ya kila kitu ikiwa kwenye kingereza, hatuwezi kujilinganisha na Wachina ambao lugha yao wameitumia zaidi ya miaka 500 tena viwandani.
Kingereza hakiepukiki, mpaka siku tutaanza kufanya kila kitu wenyewe na kuacha kuagiza hadi sindano na tutakua na jeuri ya kukitupa kule nje, juzi nilifungulia online FM ya Dar, sukumbuki ilikua ipi, nilikua na kusudi la kuskliza ngoma zenu za Kibongo, ila ghafla ikaja mada fulani iliyokua inajadili kwanini marefa wenu hawapewi nafasi za kimataifa, akapewa refa mmoja aseme, alitiririka namna wanateseka kwa kutokujua Kingereza.
Unakuta mtu anapewa uenyekiti wa kikao ambacho kinaendeshwa kwa lugha ya Kingereza, anaganda hajui aseme nini.
Binafsi nakipenda sana Kiswahili, marafiki zangu wote hata kazini wote wananijua nilivyo mzalendo wa Kiswahili, maana huwa nang'ang'ania kukitumia muda mwingi, ila huwa sichelewi kutambua umuhimu wa Kingereza panapostahiki, lazima busara itumike.

Kujua lugha ya kigeni na kuimudu ni muhimu sana.

Lakini pamoja na kuzijua lugha za kiingereza, kihispaniola, kifaransa na kireno bado nchi za kiAfrica hazijapiga maendeleo makubwa, haziwezi kusaini mikataba inayotoa mazingira ya win-win, haziwezi kuna na maendeleo endelevu ktk uchumi, afya , viwanda , utafiti (R&D), sayansi na teknolojia ili zitumike kuvusha nchi hata moja ya kiafrica iwe kama Singapore, Malaysia au Koroea ya Kusini .

MK254 tatizo ni nini katika nchi hizi zaidi ya 51 barani Afrika, kwanini angalau nchi 3 au nne zingefikia maendeleo ya Korea ya Kusini hakuna barani Afrika?

www.ft.com
The Big Read: African economy: the limits of 'leapfrogging'

why south korea leapfrogged african countries from amp.ft.com
12 Aug 2018 — When in that year, MTN, a South African telecoms ... and countries such as Singapore, Taiwan, South Korea ...

Imagelink.springer.com › chapter
Applicability of the Korean Development Model for Africa ...

by JD Park · 2019 · Related articles
1 Jan 2019 — Unlike many African countries, Korea is resource-poor and has unfavourable natural conditions. Africa, with its vast arable land, fertile soil and abundance of natural resources, has all the more reason to be enthusiastic and focused on rural-agricultural developmen........

Sub-Saharan African countries are still grappling with the issue of how to tackle poverty and move up the economic ladder. For any poor country wanting to break out of its lot and join the ranks of rich nations, realizing structural, wide-ranging and continuous changes in all sectors is a necessity.....
 
Kujua lugha ya kigeni na kuimudu ni muhimu sana.

Lakini pamoja na kuzijua lugha za kiingereza, kihispaniola, kifaransa na kireno bado nchi za kiAfrica hazijapiga maendeleo makubwa, haziwezi kusaini mikataba inayotoa mazingira ya win-win, haziwezi kuna na maendeleo endelevu ktk uchumi, afya , viwanda , utafiti (R&D), sayansi na teknolojia ili zitumike kuvusha nchi hata moja ya kiafrica iwe kama Singapore, Malaysia au Koroea ya Kusini .

MK254 tatizo ni nini katika nchi hizi zaidi ya 51 barani Afrika, kwanini angalau nchi 3 au nne zingefikia maendeleo ya Korea ya Kusini hakuna barani Afrika?

www.ft.com
The Big Read: African economy: the limits of 'leapfrogging'

View attachment 1706916
12 Aug 2018 — When in that year, MTN, a South African telecoms ... and countries such as Singapore, Taiwan, South Korea ...

View attachment 1706917link.springer.com › chapter
Applicability of the Korean Development Model for Africa ...
by JD Park · 2019 · Related articles
1 Jan 2019 — Unlike many African countries, Korea is resource-poor and has unfavourable natural conditions. Africa, with its vast arable land, fertile soil and abundance of natural resources, has all the more reason to be enthusiastic and focused on rural-agricultural developmen........

Sub-Saharan African countries are still grappling with the issue of how to tackle poverty and move up the economic ladder. For any poor country wanting to break out of its lot and join the ranks of rich nations, realizing structural, wide-ranging and continuous changes in all sectors is a necessity.....

Sijaelewa lengo lako maana unarudia kile kile ambacho nimejaribu kukupa maoni yangu hapo juu, ni kama ambaye haukusoma hata sentensi moja ya nilichokisema, kwanza kingereza sio tu lugha ya kigeni, ni sehemu kubwa sana ya maisha yetu maana tumepokezwa mifumo ya Waingereza miaka 50 iliyopita, hauwezi ukakurupuka na kukitupia nje virahisi hivyo.
Tatizo la kusaini mikataba hovyoo linachangiwa na vitu vingi, kwanza lugha inayotumika kuandika hiyo mikataba ni muhimu sana kuimudu, maana shughuli yote ya mkataba inahusu hatua nyingi sana ikiwemo vikao vya kujadiliana/negotiations, na kama hamjajipanga vyema mnakomolewa fasta tu.
Mengine yanayochangia ni mambo ya kawaida ikiwemo kukosa uzalendo, kutanguliza tamaa na pia kukosa mifumo ya kuwajibishana ipasavyo pale tunapoboronga.
 
Usikwepe Mkuu siyo mambo ya kawaida Afrika kukosa kupiga hatua kubwa za kimaendeleo kubadilisha maisha ya wananchi na uchumi kwa ujumla, mfano kama kujua lugha kugezuia upigaji na kuleta maendeleo mbona nchi za kiAfrika hakuna maendeleo kama ya Korea ya Kusini.

Maana hata nchi zilizoendelea wanakula USA, Korea ya Kusini n.k kuna baadhi ya waliopewa madaraka hupokea rushwa , kukosea kuchagua miradi kama SGR Mombasa to Nairobi lakini nchi hizo zisizo za kiAfrika wametuacha kwa mbali kimaendeleo.
 
Back
Top Bottom