Kujua lugha ya kigeni na kuimudu ni muhimu sana.
Lakini pamoja na kuzijua lugha za kiingereza, kihispaniola, kifaransa na kireno bado nchi za kiAfrica hazijapiga maendeleo makubwa, haziwezi kusaini mikataba inayotoa mazingira ya win-win, haziwezi kuna na maendeleo endelevu ktk uchumi, afya , viwanda , utafiti (R&D), sayansi na teknolojia ili zitumike kuvusha nchi hata moja ya kiafrica iwe kama Singapore, Malaysia au Koroea ya Kusini .
MK254 tatizo ni nini katika nchi hizi zaidi ya 51 barani Afrika, kwanini angalau nchi 3 au nne zingefikia maendeleo ya Korea ya Kusini hakuna barani Afrika?
www.ft.com
The Big Read: African economy: the limits of 'leapfrogging'
View attachment 1706916
12 Aug 2018 — When in that year, MTN, a South African telecoms ... and countries such as Singapore, Taiwan, South Korea ...
View attachment 1706917link.springer.com › chapter
Applicability of the Korean Development Model for Africa ...
by JD Park · 2019 ·
Related articles
1 Jan 2019 — Unlike many African countries, Korea is resource-poor and has unfavourable natural conditions. Africa, with its vast arable land, fertile soil and abundance of natural resources, has all the more reason to be enthusiastic and focused on rural-agricultural developmen........
Sub-Saharan African countries are still grappling with the issue of how to tackle poverty and move up the economic ladder. For any poor country wanting to break out of its lot and join the ranks of rich nations, realizing structural, wide-ranging and continuous changes in all sectors is a necessity.....