kiwa khalid
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 636
- 534
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimeshangaa sana,yan kuziandika tu anashindwa!hizo hiace 2 unazo kweli au uliwapiga kamba tu
Itakuwa ni tabia yako kutembea uchintatembea uchi wiki nzima, ikifika hiyo siku
Sio ukanjanja mkuu tatizo we ulitaka Gali..,Yaa ni bank zuri lakini niwapuuzi sana,siku moja nikasikia wanatoa mikopo ya gali,nikaenda kuwaomba unataka Gali gani nikawaambia nataka Hiece, wakati unazo ngapi,nikawaambia 2 unataka shilling ngapi 10 ml,wewe unashilingi ngapi 13ml,ziko wapi bank Fulani,unaweza kutuonyesha salio?nikachukua sim nikauliza salio nikawaonyesha,wakaniuliza utaweka dhamana gani,nikawambia kadi ya Gali na hiyo nitakayo nunua,wakasema sawa lakini unatakiwa ukate (compensive) bima ya Gali zako mbili zile kubwa za 2ml kila moja nahiyo utakayo nunua nayenyewe jumla bima 3 za million 6,nikaona hao jamaa ni kanjanja tu,niwaswahili kama Wa Bank zetu Tz,niwe na 6ml halafu nije kuingia kwenye ghalama ya karbu 18ml pamoja liba nikaona Nile kidogo nilale mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kwa huko ambako hauna akaunti?Truth be told.. Hii bank ni makini na itateka soko sio la Tz tu bala East Africa kwa mjumla..
Nisema hivi sababu nina account huko, wako so focused..