Equity bank to be leading bank in Tanzania

Equity bank to be leading bank in Tanzania

Yaa ni bank zuri lakini niwapuuzi sana,siku moja nikasikia wanatoa mikopo ya gali,nikaenda kuwaomba unataka Gali gani nikawaambia nataka Hiece, wakati unazo ngapi,nikawaambia 2 unataka shilling ngapi 10 ml,wewe unashilingi ngapi 13ml,ziko wapi bank Fulani,unaweza kutuonyesha salio?nikachukua sim nikauliza salio nikawaonyesha,wakaniuliza utaweka dhamana gani,nikawambia kadi ya Gali na hiyo nitakayo nunua,wakasema sawa lakini unatakiwa ukate (compensive) bima ya Gali zako mbili zile kubwa za 2ml kila moja nahiyo utakayo nunua nayenyewe jumla bima 3 za million 6,nikaona hao jamaa ni kanjanja tu,niwaswahili kama Wa Bank zetu Tz,niwe na 6ml halafu nije kuingia kwenye ghalama ya karbu 18ml pamoja liba nikaona Nile kidogo nilale mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ukanjanja mkuu tatizo we ulitaka Gali..,
Ungetaka Gari mbona fasta wangekuelewa
 
Acha uongo,Mimi nilitaka hela ya kulipia bandalini na documents zikitumwa kutoka Japan wao ndio wazipoke na hela ya agent,shippping,plate no nitatoa,wao ni ushuru tu,niwaambia hata kama Gali ije kwa jina lao baada ya kumaliza deni ndipo nibadilishe,lakini pamoja na hayo bado walitaka nikate bima kubwa za million 2 kwa kila Gali yaani jumla Gali 3 sawa na million 6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Riba ya mikopo wa wanawszidi bank ya Nmb?

Mpe anae kupa
 
Back
Top Bottom