Erasto Mfugale: Kilichotokea kazini sisi hatujui

Alitegemea kifo kimpe taarifa? Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Mungu lihimidiwe.

Watao salamu za rambirambi wanakuja na mibarakoa wakifika kwenye microphone wanaivua. Microphone hiyo hiyo moja kwa wote wala hakuna cha juhudi za kuidisinfect. Ngoja Mungu wa Mbinguni aendelee kuwafanya kichekesho cha dunia hii.
 
Kwamba kifo hakiji tu naturally.. ndio mnataka kusema!?
 
Mgonjwa alikuja ameshafariki, alikuwa wapi? Baadae habari zinasemekana alikuwa kazini, sisi hatukuelewa kabisa, tukaendelea kuchanyikiwa, kusema kweli ilituuma kweli lakini hata hivyo Binadamu njia yake ni moja.
 
Nitarudi kwenye huu uzi.naimani nitapata kitu baadae
 
Nimependa uwazi ujasiri uthubutu na ukweli kwa kuweka bayana sintofahamu ya mazingira ya kifo chake. R.I.P Mwamba, proud of Baba kwa kheri ya kuonana
 
Dah So painful mwagito sweeelaa ela tuilekelage Inguluvi ye imagava


Dah So painful mwagito sweeelaa ela tuilekelage Inguluvi ye imagava
Wewe jamaa napita ndiuka na nasoma comment ya ndiuka..
...R.I.P mhandisi mfugale
 
Huku uraiani mbona ndugu zetu wanakufa kila siku vifo vya ghafla tunazika tu bila shida...

Kiumbe yeyote aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu atakufa tu hawezi kuishi milele na maisha yetu hapa duniani ni mafupi mno..

Ni vyema tukaishi kwa kutenda mema, kuishi kwa hofu ya Mungu ( kwa wale wenye kuamini)..mwisho wa siku Mungu ndiye mjuaji wa kila jambo la dunia hii na ni yeye pia anayejua kwanini fulani ametangulia na kwanini fulani amebaki na mwisho kabisa yeye ndiye anajua makazi ya kila apumzikaye...
 
Ripoti ya CAG imemsutua tu
 
Kifo bwana,yaani unajitahidi kukikwepa kwenye magonjwa,ajali,pombe,dawa za kulevya,ukimwi n.k n.k kinakuja kukupata umetulia, hauumwi wala nini,tena ghafla tu,paa...
 
Mkuu, jiongeze tu hapo kupata majibu.
 
Mgonjwa alikuja ameshafariki, alikuwa wapi? Baadae habari zinasemekana alikuwa kazini, sisi hatukuelewa kabisa, tukaendelea kuchanyikiwa, kusema kweli ilituuma kweli lakini hata hivyo Binadamu njia yake ni moja.
Majibu yapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…