Erasto Mfugale: Kilichotokea kazini sisi hatujui

Erasto Mfugale: Kilichotokea kazini sisi hatujui

Huyu mbona analeta sintofahamu pasipo sintofahamu (angetulia kwanza akapata habari kamili / akaelewa ) kabla ya kutoa maandishi
 
Yaani hata hospitali kweli wameshindwa kueleza kafa kwa nini?

Kuna mambo ambayo yakishatokea subra,busara na imani tuu ndio bora kuliko malumbano

Mungu awape wafiwa imani ya kwamba yeye ana uwezo wa kuzuia na kuruhusu kila kifo

Na amani ya kukubali kifo ni njia ila kila mtu ataipita kwa style yake


Alale salama engineer
 
Uchungu wa msiba umemwelemea huyu ndugu wa marehemu.

Badala ya kuashiria utata angeweza tu kusema tunasubiri matokeo ya post mortem kujua chanzo cha kifo.
 
Hotuba ya Rais SSH hapo msibani imenikosha moyo na nafsi yangu. Ndio Rais tumtakaye anayelia na kucheka na wote anaowaongoza bila kujali imani zao. Joshua 1:9 na ikikupendeza Mama Rais waambie wasaidizi wako wawe wanakumegea Neno la Mungu kidogo kidogo maana lina Hekima na Maarifa Makuu kutoka kwa Mungu wa Mbinguni ya kiuongozi.

Kwa ushauri ikikupendeza Mh Rais soma Joshua 1:1-13. Uone Maneno ya Mungu aliyo mnenea Joshua wakati wa kumkabidhi kijiti kutoka kwa Musa.

Asante Bwana Yesu. Endelea kumsaidia Rais wetu atuongoze kwa hekima. Wewe ndiye uliyetuambia mamlaka zote za wanadamu zatoka kwako. Nami sitarudi nyuma kusema ukweli hata ukiwa mchungu inapo bidi.
 
Nadhani wanasema kifo cha ndugu yao Mfugale kina utata. Alikuwa haumwi, lakini pia kafikishwa hospitali akiwa ameshakufa. Wakauliza alifia wapi? Wakaambiwa alifia kazini. Hospitali nao wakasema hawajui ugonjwa uliomuuwa.

Hapo sasa labda ripoti ya “postmortem” itawapatia picha kamili kujuwa chanzo cha kifo cha Engineer Mfugale.
Najiuliza postmortem huchukua muda gani au inategemea na mwenendo wa uchunguzi wa kifo pamoja na viashiria vyake?
 
Kuna mambo ambayo yakishatokea subra,busara na imani tuu ndio bora kuliko malumbano

Mungu awape wafiwa imani ya kwamba yeye ana uwezo wa kuzuia na kuruhusu kila kifo

Na amani ya kukubali kifo ni njia ila kila mtu ataipita kwa style yake


Alale salama engineer
Pangekuwa na uchunguzi, naona wewe ungefaa kusaidia Polisi.
 
Back
Top Bottom