DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kasome Reliable Sources Kuhusu Mpemba Effects..Daktari uchwara huyo. Mpemba alitakiwa kutuambia kwani maji ya moto yanaganda haraka kwenye friza kuliko ya baridi. Kujua tu maji ya moto yanaganda haraka Mpemba mwenyewe kashudia kwamba hata rafiki yake mpishi huko Tanga anafanya hivo. Mpemba mwenye hakuendelea na sayansi ya ugunduzi zaidi ya kuishgia kuwa afisa wanyama pori. Tatizo Waafrika tunapenda sana kutukuzwa kwa vitu vidogo sana wakati wenzetu wanelekea safari za Mars.