Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
Simba imekamilosha usajili wachezaji wawili wa timu ya taifa kwa kandalasi ya miaka miwili
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante huyu Golikipa ametokea timu gani vile ?Hongereni sana watani
Mtoa mada ajibu hili swaliAsante huyu Golikipa ametokea timu gani vile ?
Mbona yanga walimuwahi?[emoji72] [emoji72] [emoji72]Simba imekamilosha usajili wachezaji wawili wa timu ya taifa kwa kandalasi ya miaka miwili![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ee
Wewe hujui timu yako yanga haina wazee tu ila ina wahenga piaSimba nao kuna muda wanachekesha. Hivi ni nani aliyewashauri kusajili hao wazee? Ukianza na huyo Nyoni, Okwi na hata John Bocco?
Rage aliwahi kuwaita mashabiki wa Simba kuwa ni Mbumbumbu na wala hakukosea hata kidogo.
Kweli nimemkumbuka, huwa Mtibwa ikishinda anachelewesha sana mipira na kuangukaanguka.
Ni juzi tu mlikua mnamsifia nyoni kwamba kasajili pale madimbwini kwamba ni kiraka mara hii ashakua mzeeSimba nao kuna muda wanachekesha. Hivi ni nani aliyewashauri kusajili hao wazee? Ukianza na huyo Nyoni, Okwi na hata John Bocco?
Rage aliwahi kuwaita mashabiki wa Simba kuwa ni Mbumbumbu na wala hakukosea hata kidogo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ngoja nimsaidie kumjibia mtoa mada, huyu golikipa ndio golikipa bora kwenye mashindano ya cosafa yaliomalizika hivi karibuni nchini africa ya kusini ametokea timu ya mtibwa sugar ya turiani mkoani morogoro mkuuAsante huyu Golikipa ametokea timu gani vile ?
Asante mkuu tuonane Simba Day. Tarehe nane mwezi wa nane mwaka elfu mbili na kumi na saba.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ngoja nimsaidie kumjibia mtoa mada, huyu golikipa ndio golikipa bora kwenye mashindano ya cosafa yaliomalizika hivi karibuni nchini africa ya kusini ametokea timu ya mtibwa sugar ya turiani mkoani morogoro mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app