Erasto Nyoni, na golikipa Nduda ni mali ya Simba Sc

Erasto Nyoni, na golikipa Nduda ni mali ya Simba Sc

Kyawanjubu

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2017
Posts
2,452
Reaction score
2,197
Simba imekamilosha usajili wachezaji wawili wa timu ya taifa kwa kandalasi ya miaka miwili
7df9831d8c95158c3fc9c25d7245fe66.jpg
495940421da761df89d630463000de26.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba nao kuna muda wanachekesha. Hivi ni nani aliyewashauri kusajili hao wazee? Ukianza na huyo Nyoni, Okwi na hata John Bocco?

Rage aliwahi kuwaita mashabiki wa Simba kuwa ni Mbumbumbu na wala hakukosea hata kidogo.
 
Wewe hujui timu yako yanga haina wazee tu ila ina wahenga pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba nao kuna muda wanachekesha. Hivi ni nani aliyewashauri kusajili hao wazee? Ukianza na huyo Nyoni, Okwi na hata John Bocco?

Rage aliwahi kuwaita mashabiki wa Simba kuwa ni Mbumbumbu na wala hakukosea hata kidogo.
Ni juzi tu mlikua mnamsifia nyoni kwamba kasajili pale madimbwini kwamba ni kiraka mara hii ashakua mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante huyu Golikipa ametokea timu gani vile ?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ngoja nimsaidie kumjibia mtoa mada, huyu golikipa ndio golikipa bora kwenye mashindano ya cosafa yaliomalizika hivi karibuni nchini africa ya kusini ametokea timu ya mtibwa sugar ya turiani mkoani morogoro mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ngoja nimsaidie kumjibia mtoa mada, huyu golikipa ndio golikipa bora kwenye mashindano ya cosafa yaliomalizika hivi karibuni nchini africa ya kusini ametokea timu ya mtibwa sugar ya turiani mkoani morogoro mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu tuonane Simba Day. Tarehe nane mwezi wa nane mwaka elfu mbili na kumi na saba.
Nitakupa ofa ya kinywaji chochote unachokipenda, chupa moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera simba kwa kuanza kuunda simba mpya nadhan yafaa kuwajulisha fans kuwa wawavumilie msimu huu upite maana kiukweli watakuwa hawajazoeana ila kuanzia 2018/19 hapo ndo ubingwa msimbaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kamusoko ngoma ni vijana? Je mess na ronado Mbona hamuwaiti wazee na mnawasujudia? Inakueeje nyinyi mashabiki WA Tanzania mnawadharau wachezaji wenu? Umri wa miaka 27 Sio uzee ndio Kipindi cha kucheza mpira Acheni ushabiki wa kijinga jifunzeni kuiga mazuri ya wenzetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom