Erasto Nyoni, na golikipa Nduda ni mali ya Simba Sc

Tetesi ni kwamba kakopwa, watakuwa wanamlipa kiduchu kiduchu
 
Anajua hilo ila KASUMBA kwa nini kenda SIMBA

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kaenda sehemu sio sahihi kwake
 
Acha kumlinganisha Lionel Messi La Pulga Na vitu vya kipumbavu


Na


Koma Kumlinganisha Christiano Ronaldo na vitu vya kipuuzi

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Kipa bora mechi moja tuuu......miafrika bana !!!

Wa nn wakati timu ina makipa 3 na huyu ni chura wa damu !!!
 
Kabla ya kumwaga povu lako hapa jifunze kidogo goal keeper bora wa COSAFA anapatikanaje??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipa au mchezaji bora wa mashindano yoyote hata ndondo cup kuna vigezo vya dunia...stats including mechi alizocheza.

Ni unyumbu huo ndo mmesajili yy sababu ya hiyo game moja ?? Huko mtibwa si ana stats, zikoje ?? Hii yakusajili mtu sababu tu Vyura mmesikia wanamtaka ni upumbaf ule ule wa miaka yote wa watu wale wale wasiojua mpira !! Mnafukuza kipa mwenye rekodi ya clean sheet katikati ya msimu, mnaleta mwingine eti mkali sana mlimuona mechi moja na yanga, then baada ya miezi mitatu nae mnasema hafai !!!

Hao hao waliwaacha akina Mbaraka Yusuf mkaleta hao vibwengo wa ivory coast eti mfungaji hatari. Nyie nyie mlileta yule basketballer ngongoti, akaishia kuvaa mairizi makubwa km dafu...!!

Sio watu wa mpira nyie wapiga dili tuu, mnauza sura ktk magazeti na mtawasisimua hao makomandoo mbumbumbu... na mwisho wenu ni mwaka huu !!
 
Mpaka sasa nahisi simba itakuwa imesajili first eleven tayari
 
Simba nao kuna muda wanachekesha. Hivi ni nani aliyewashauri kusajili hao wazee? Ukianza na huyo Nyoni, Okwi na hata John Bocco?

Rage aliwahi kuwaita mashabiki wa Simba kuwa ni Mbumbumbu na wala hakukosea hata kidogo.
Mchochezi unajisikiaje kwa sasa, baada ya kuona shughuli ya wazee uliowabeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…