hapa hata mimi nimeshangaa sana,Nyoni yuko poa sana sema shida yake hapandishi mashambulizi sanaKumuacha Fundi Ajibu ni kosa kubwa sana! Yule ni mzee wa pasi za mwisho! Sijui huyu kocha anatumia vigezo gani kuita wachezaji!
Nauganda mlisema hvyohvyoKwa forward line ya cape verde.. Sijaona beki ya kuizuia.. Labda kapombe. Taifa Stars inaenda kugongwa nyingi.
Mkuu Cape Verde nawajua vizuri.. Hivyo nilichokiandika namaanishaNauganda mlisema hvyohvyo
HAWAJUI WAINGEEWZA VIZURIHivi ushamwangalia Kapombe wewe?Sijui kwann kamuacha Erasto Lakini kusema "angemuacha hata Kapombe" na utovu mkubwa wa adabu.Kocha mwenyw kipindi aliwa2mua alijuta kumkosa Pombe kwenye Game.Ila huyu kocha anajifanya Jeuri sana.Hawajui Waingereza vizuri
Endeleeni kuroga maana naona hasira zenu za match ya Uganda hazijaishaKwa forward line ya cape verde.. Sijaona beki ya kuizuia.. Labda kapombe. Taifa Stars inaenda kugongwa nyingi.
Mkuu upewe timu?Hakuna mlinzi wa kumfananisha na Erasto Nyoni fundi ....kwanza anaweza kucheza namba yoyote tena kwa ufanisi. Amecheza kikosi cha kwanza kipindi chote akiwa Azam hadi Simba.
Huyu kocha simuelewi hapa kabisa ...
Pamoja na unazi wangu uliotukuka wa pale Msimbazi lakini kwenye taifa tukiweka uzalendo mbele ni dhambi kumweka Ibrahim Ajib pembeni.Kwa kwel Mimi ni mwanasoka nimejiuliza sana why kawachaa ajibu na nyoni kichuya kocha yupo sawa hana Moira mzur kwa hizi mechi zilizopita ila Nyoni na Ajibu not fair cjaona umuhimu Wa kumwita Dante
Haya ni maoni yangu tu ila yote kwa yote tumuachie kocha
Erasto ni mchezaji mzuri ila kwa Agrey, Yondani na Abdi banda inakua ngumu kumwita, maana huto mtumia.
Kweli aisee...............Kumuacha Fundi Ajibu ni kosa kubwa sana! Yule ni mzee wa pasi za mwisho! Sijui huyu kocha anatumia vigezo gani kuita wachezaji!
Dante future...Nyoni maji ya jioniKwa kwel Mimi ni mwanasoka nimejiuliza sana why kawachaa ajibu na nyoni kichuya kocha yupo sawa hana Moira mzur kwa hizi mechi zilizopita ila Nyoni na Ajibu not fair cjaona umuhimu Wa kumwita Dante
Haya ni maoni yangu tu ila yote kwa yote tumuachie kocha
Mbona anazeekea BongoErasto Nyoni ni mzuri kuliko Banda wakati Banda anatumia mguu mmoja tu Nyoni anatumia yote miwili comfortably
Yuko taratibu na hana nguvu ila kwa jicho la mpira wetu wa ndani mnamuona yuko vizur.Erasto Nyoni ni mzuri kuliko Banda wakati Banda anatumia mguu mmoja tu Nyoni anatumia yote miwili comfortably
Kuna siku kocha atataka mchezaji wa kike halafu maamuzi yake yaheshimiwe?maamuzi ya kocha yaheshimiwe. Kumbuka ni awamu ya kutopangiwa sisi tunacho taka ni matokeo mazuri hata akienda uwanjani na wachezaji wa njombe mji ila akaleta matokeo mazuri sawa tu
Hoja ya kipuuzi ya sikuMbona anazeekea Bongo
hii iliwah tokea nchi gani mkuu?Kuna siku kocha atataka mchezaji wa kike halafu maamuzi yake yaheshimiwe?
mkuu hebu tusiwe na mengi ya kusema tusubiri siki ya mechi dk 90 ndipo tuje kumnanga kocha. kwa maoni ya walio wenvi inaonekana kocha kachemka ila mpira dk 90 tujipe muda tuoneMkuu nenda pitia ile line up ya mabeki ujiulize wamemzidi nini Nyoni. Tena wengine hata uzoefu hawana ni kama tunawajaribu tu
Hana kasi yuko slow sana