Erasto Nyoni out Taifa Stars!! Kwanini??

Erasto Nyoni out Taifa Stars!! Kwanini??

Kumuacha Fundi Ajibu ni kosa kubwa sana! Yule ni mzee wa pasi za mwisho! Sijui huyu kocha anatumia vigezo gani kuita wachezaji!
hapa hata mimi nimeshangaa sana,Nyoni yuko poa sana sema shida yake hapandishi mashambulizi sana
 
Hivi ushamwangalia Kapombe wewe?Sijui kwann kamuacha Erasto Lakini kusema "angemuacha hata Kapombe" na utovu mkubwa wa adabu.Kocha mwenyw kipindi aliwa2mua alijuta kumkosa Pombe kwenye Game.Ila huyu kocha anajifanya Jeuri sana.Hawajui Waingereza vizuri
HAWAJUI WAINGEEWZA VIZURI
 
Hakuna mlinzi wa kumfananisha na Erasto Nyoni fundi ....kwanza anaweza kucheza namba yoyote tena kwa ufanisi. Amecheza kikosi cha kwanza kipindi chote akiwa Azam hadi Simba.

Huyu kocha simuelewi hapa kabisa ...
Mkuu upewe timu?
 
Kwa kwel Mimi ni mwanasoka nimejiuliza sana why kawachaa ajibu na nyoni kichuya kocha yupo sawa hana Moira mzur kwa hizi mechi zilizopita ila Nyoni na Ajibu not fair cjaona umuhimu Wa kumwita Dante
Haya ni maoni yangu tu ila yote kwa yote tumuachie kocha
Pamoja na unazi wangu uliotukuka wa pale Msimbazi lakini kwenye taifa tukiweka uzalendo mbele ni dhambi kumweka Ibrahim Ajib pembeni.
 
Pamoja na unazi wangu uliotukuka wa pale Msimbazi lakini kwenye taifa tukiweka uzalendo mbele ni dhambi kumweka Ibrahim Ajib pembeni.
Kocha atupe vigezo alivyotumia. Ni kitu wazi tu kama imefanyika fair assessments
 
Erasto Nyoni ni mzuri kuliko Banda wakati Banda anatumia mguu mmoja tu Nyoni anatumia yote miwili comfortably
Erasto ni mchezaji mzuri ila kwa Agrey, Yondani na Abdi banda inakua ngumu kumwita, maana huto mtumia.
 
Kwa kwel Mimi ni mwanasoka nimejiuliza sana why kawachaa ajibu na nyoni kichuya kocha yupo sawa hana Moira mzur kwa hizi mechi zilizopita ila Nyoni na Ajibu not fair cjaona umuhimu Wa kumwita Dante
Haya ni maoni yangu tu ila yote kwa yote tumuachie kocha
Dante future...Nyoni maji ya jioni
 
Erasto Nyoni ni mzuri kuliko Banda wakati Banda anatumia mguu mmoja tu Nyoni anatumia yote miwili comfortably
Yuko taratibu na hana nguvu ila kwa jicho la mpira wetu wa ndani mnamuona yuko vizur.
 
hii iliwah tokea nchi gani mkuu?

ila anacho fanya kocha kipo dunian kote
Mkuu nenda pitia ile line up ya mabeki ujiulize wamemzidi nini Nyoni. Tena wengine hata uzoefu hawana ni kama tunawajaribu tu
 
Mkuu nenda pitia ile line up ya mabeki ujiulize wamemzidi nini Nyoni. Tena wengine hata uzoefu hawana ni kama tunawajaribu tu
mkuu hebu tusiwe na mengi ya kusema tusubiri siki ya mechi dk 90 ndipo tuje kumnanga kocha. kwa maoni ya walio wenvi inaonekana kocha kachemka ila mpira dk 90 tujipe muda tuone
 
Hana kasi yuko slow sana

Halafu inaelekea zile rafu za kitoto ni liability..hapa kwetu huwa hapewi kadi nyekundu kwa kuwa marefa wanaiogopa simba lakini marefa wa nje watakula naye sahani moja tehtehtehtehteh
 
Back
Top Bottom