Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wa kipemba muna tamaa sana ndio maana munaliwaHuyo ndiye aliyekuharibu?
Kumbe uliliwa kwa sababu ya tamaa?Watoto wa kipemba muna tamaa sana ndio maana munaliwa
Nikikupa vespa upo tayari kuuza mechi?Kumbe uliliwa kwa sababu ya tamaa?
Nikikununulia vespa upo tayari kuniuzia mechi?Kumbe uliliwa kwa sababu ya tamaa?
Kumbe ulipewa vespa ukaliwaNikikupa vespa upo tayari kuuza mechi?
Sisi watu wa bara ndio tunaongoza kuwakuna watoto laini ninyi munaoshindia urojo na kachoriKumbe ulipewa vespa ukaliwa
Kumbe ulipewa vespa ukaliwaSisi watu wa bara ndio tunaongoza kuwakuna watoto laini ninyi munaoshindia urojo na kachori
Ninyi wazanzibar mupo radhi dume liliwe kuliko kula kitimotoKumbe ulipewa vespa ukaliwa
Wewe ulipewa vespa ukaliwa Sasa unatafuta kitu chengine uliwe tena ???, si useme tuNinyi wazanzibar mupo radhi dume liliwe kuliko kula kitimoto
View attachment 2500797
ReutersCopyright: Reuters
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema kuwa Ankara inaweza kukubali Finland kujiunga na Nato, lakini si Sweden.
Alikosoa hatua ya Uswidi kukataa kuwarejesha makumi ya watu wanaodaiwa kufungwa kwa makundi ya wapiganaji wa Kikurdi na wakosoaji wengine wa serikali yake.
"Ikiwa unataka kabisa kujiunga na Nato, utaturudishia magaidi hawa," alisema Bw Erdogan. Maoni yake yanakuja siku chache baada ya Uturuki kusitisha mazungumzo ya kukubali mataifa hayo mawili ya Nordic kuwa wanachama.
Hatua hiyo ilichochewa na msururu wa maandamano yenye utata mjini Stockholm, likiwemo lile ambalo nakala ya Quran ilichomwa moto.
Maafisa wa Uswidi wamelaani maandamano hayo, lakini wametetea sheria za uhuru wa kujieleza nchini humo.
Kujibu uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, Uswidi na Ufini zilituma maombi ya kujiunga na Nato mwaka jana, na hivyo kumaliza miongo kadhaa ya kutojiunga na jeshi.
Ombi lao lazima liidhinishwe kwa kauli moja na wanachama wote wa sasa wa Nato, lakini Uturuki na Hungary zimeshindwa kuidhinisha.
Katika hotuba yake, Bw Erdogan alisema Uturuki sasa inaweza "kutoa jibu tofauti kuhusu Finland," akiongeza kuwa "Sweden itashtuka". "Tuliipa Uswidi orodha ya watu 120 na tukawaambia kuwarudisha magaidi hao nchini mwao," alisema Bw Erdogan. "Ikiwa hautawakabidhi, basi samahani kwa hilo." chanzo BBC.New.
Wangekuwa wanaweza kumtoa uturuki wangeshamtoa zamaniiiii sababu uturuki haburuzwi yy ana misimamo ya nchi yake kiuchumi kama sasa hv nato wenzake wanamuwekea vikwazo russia yy ndio anaanza ujenzi wa bomba la gesi,tatizo mnaichukulia turkey easy
Watajiunga tu na NATO!!!Kaka sio nisome siasa za swedeni bali nimeishi huko kaka!!!Wanaochoma Quran ni wanasiasa wenye mrengo wa kulia wanaopinga wahamiaji!!!Hakuna tofauti na kesi ya Indonesia pale serikali ya jimbo moja ilipoamua kuchoma dozeni za biblia!!!!Ni masuala ya siasa za ndani
View attachment 2500797
ReutersCopyright: Reuters
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema kuwa Ankara inaweza kukubali Finland kujiunga na Nato, lakini si Sweden.
Alikosoa hatua ya Uswidi kukataa kuwarejesha makumi ya watu wanaodaiwa kufungwa kwa makundi ya wapiganaji wa Kikurdi na wakosoaji wengine wa serikali yake.
"Ikiwa unataka kabisa kujiunga na Nato, utaturudishia magaidi hawa," alisema Bw Erdogan. Maoni yake yanakuja siku chache baada ya Uturuki kusitisha mazungumzo ya kukubali mataifa hayo mawili ya Nordic kuwa wanachama.
Hatua hiyo ilichochewa na msururu wa maandamano yenye utata mjini Stockholm, likiwemo lile ambalo nakala ya Quran ilichomwa moto.
Maafisa wa Uswidi wamelaani maandamano hayo, lakini wametetea sheria za uhuru wa kujieleza nchini humo.
Kujibu uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, Uswidi na Ufini zilituma maombi ya kujiunga na Nato mwaka jana, na hivyo kumaliza miongo kadhaa ya kutojiunga na jeshi.
Ombi lao lazima liidhinishwe kwa kauli moja na wanachama wote wa sasa wa Nato, lakini Uturuki na Hungary zimeshindwa kuidhinisha.
Katika hotuba yake, Bw Erdogan alisema Uturuki sasa inaweza "kutoa jibu tofauti kuhusu Finland," akiongeza kuwa "Sweden itashtuka". "Tuliipa Uswidi orodha ya watu 120 na tukawaambia kuwarudisha magaidi hao nchini mwao," alisema Bw Erdogan. "Ikiwa hautawakabidhi, basi samahani kwa hilo." chanzo BBC.News