Erdogan asema Uturuki inaweza kuzuia ombi la Uswidi la uanachama wa NATO

Mkuu unataka kuzidisha ujuaji sasa.

Hivi ata ukichukua mturuki na mualibania ukawaweka hapo hivi wana fanana hata kidogo kweli? Mtu mwenye asili ya kituruki ana julikana hawezi kujifananisha na mzungu hata siku moja haiwezekani.

Mwisho utatuambia kuwa Wachechinia ni waarabu walio jipa uzungu kwa sababu ya uislam wao.

Kuhusu maneno ya Erdogan alisema hivyo kwa sababu ya otoman ilitawala eneo hilo.
Hayo mambo kuhusu wachecheni na jamii za asia ya kati zilizochukua dini ya kiislamu huwezi kuzijua kama hujui historia ya waazeri,tartar,wamongolia chini ya gengis khan na waliokuja baada yake na wale wamongoli waliovamia Baghdad wakati wa utawala wa makhalifa wa kiislamu!!!Ukitaka kujua jifunze uislamu ulienea vipi asia ya kati na jamii za kusini mwa russia ya leo!!!!!Huwezi kuwaita jamii za wafugaji wa Chechen wazungu kama kweli ni mwanahistoria na mtafiti
 
Mkuu unataka kuzidisha ujuaji sasa.

Hivi ata ukichukua mturuki na mualibania ukawaweka hapo hivi wana fanana hata kidogo kweli? Mtu mwenye asili ya kituruki ana julikana hawezi kujifananisha na mzungu hata siku moja haiwezekani.

Mwisho utatuambia kuwa Wachechinia ni waarabu walio jipa uzungu kwa sababu ya uislam wao.

Kuhusu maneno ya Erdogan alisema hivyo kwa sababu ya otoman ilitawala eneo hilo.
Kajifunze kwanza jinsi gani falme za ottoman empire zilikua zinawajaza raia wa asili ya kituruki kwenye makoloni yake kwa kipindi cha miaka 500 na ujifunze kuhusu migration waliofanya waturuki kutoka balkani states baada ya ottoman empire kuanguka sarajevo!!
 
Kaka huwezi kuutenganisha ukristo na siasa za magharibi kama ambavyo huwezi kuutenganisha uislamu na siasa za mashariki ya kati na afrika kaskazini!!Afu ukristo hauna sheria bali una utaratibu na kuna tofauti kubwa kati ya sheria na utaratibu!!!Pia nalijua bara ulaya kiundani sababu nimeoa mzawa wa huko na nimeishi kaka!!!!

Ukristo europe unakufa na ndio ukaona watu wanachomar Quran na wengine wanataka kuchoma biblia hii yote ni kuwa hawana kitu wanachokitegemea kwa future yao na ndio wakapoteza ethics na moral. Ndio ukaona wengiu wanatetea ushoga wengine wanaolewa na mbwa nk

Hali iko hivi
'Christianity as default is gone': the rise of a non-Christian Europe
 
Kaka hata siku moja ukristo hauwezi kufa ulaya ni kama kusema uislamu ufe mashariki ya kati na afrika kasikazini haiwezekani!!!Kuhusu mashoga wapo dunia nzima na wana watetezi dunia nzima sio ulaya pekee!!!Tembelea Amman,tembelea Baghdad,tembelea tokyo,tembelea tanga and ect.....Ndio utajua ushoga upo dunia nzima sio ulaya pekee!!!!Kuhusu source yako hayo ni maandishi ameandika mwandishi wa habari sisi tutaaminije mlengo wake kisiasa,kimtazamo na kijamii!!!Wasomi hatupokei hovyo sources of information,s lazima tuzichambue kaka
 
Inaelekea hujaisoma hiyo article yote , hiyo ni reseach ilifanywa soma vizuri kwa utulivu'

Christianity as default is gone': the rise of a non-Christian Europe
 
The figures are published in a report, Europe’s Young Adults and Religion, by Stephen Bullivant, a professor of theology and the sociology of religion at St Mary’s University in London.
 
Yeye ndiye ataondoka NATO wavaa kobazi vichwa ni Kwa ajili ya kubebea nywele na ndevu tu.
Watu weusi mna shida....ngozi nyeupe zinazozana wewe mlokole wa Sengerema unaumia. Unahisi una undugu wa kidini na hao wazungu
 
Nawe umeunizwa vipi na koment yangu Kama siyo shobo.. unataka nikupande siyo
 
The figures are published in a report, Europe’s Young Adults and Religion, by Stephen Bullivant, a professor of theology and the sociology of religion at St Mary’s University in London.
Sasa kaka unataka sisi tuamini maoni ya kazi ya Stephen Bullivant tena chuo chenyewe hapo St Mary,s university!!!!Kuna wasomi wangapi ulaya ambao kila mtu anaandika maoni yake kaka????Au wewe unaamini ndugu Steven ni malaika hakosei kaka au kua na maoni binafsi?????
 
Inaelekea hujaisoma hiyo article yote , hiyo ni reseach ilifanywa soma vizuri kwa utulivu'

Christianity as default is gone': the rise of a non-Christian Europe
Ukristo hauwezi kufa kaka!!!!!Ni sawa na kusema uislamu utakufa
Inaelekea hujaisoma hiyo article yote , hiyo ni reseach ilifanywa soma vizuri kwa utulivu'

Christianity as default is gone': the rise of a non-Christian Europe
ukirsto hauwezi kufa ulaya kaka ni sawa na kusema uislamu ufe mashariki ya kati kaka!!!!Haiwezekani
 
Yaan NATO kwa uturuli hawana cha kusmea koz ndo nchi inayouunganisha ulaya na mashariki ya kati so ana uwezo wa kufnya hivo by the way wazungu bana wachokoz sna kwa nn uchome Quran for what...
... niliamni wazungu wako civilized lakin bado wapo kwenye zama za zman
 
Sasa kaka unataka sisi tuamini maoni ya kazi ya Stephen Bullivant tena chuo chenyewe hapo St Mary,s university!!!!Kuna wasomi wangapi ulaya ambao kila mtu anaandika maoni yake kaka????Au wewe unaamini ndugu Steven ni malaika hakosei kaka au kua na maoni binafsi?????

Sasa kaka unataka sisi tuamini maoni ya kazi ya Stephen Bullivant tena chuo chenyewe hapo St Mary,s university!!!!Kuna wasomi wangapi ulaya ambao kila mtu anaandika maoni yake kaka????Au wewe unaamini ndugu Steven ni malaika hakosei kaka au kua na maoni binafsi?????
Hiyo report utaikuta kwenye magazeti mengi ya UK , si lazima uamini wewe Kama ni uongo wasingaliichapisha. ukienda nchi Za Scandinavian wanasema labda kanisani waanze kutoa bia Za bure ndio watapata watu , makanisa yanauzwa , waumini hakuna . Ukienda UK hali ni hiyo hiyo.

Soma hili gazeti la Newsweek la US

Christianity a Dying Religion for Europe's Millennials
 
Pamoja na hayo hayo ukristo hauwezi kufa bara ulaya!!!!Ukristo sio kwenda kanisani upo ndani ya mioyo ya wahusika!!!
 
Hiyo report utaikuta kwenye magazeti mengi ya UK , si lazima uamini wewe Kama ni uongo wasingaliichapisha. ukienda nchi Za Scandinavian wanasema labda kanisani waanze kutoa bia Za bure ndio watapata watu , makanisa yanauzwa , waumini hakuna . Ukienda UK hali ni hiyo hiyo.

Soma hili gazeti la Newsweek la US

Christianity a Dying Religion for Europe's Millennials
Magazeti ni propaganda yapo kwa ajili ya kuuza nakala!!!Hizo nchi za Scandinavian si ndio zinaongoza kwa kua na walokole kaka!!!!Ukristo hauwezi kufa bara ulaya!!!Ni sawa na kusema eti uislamu utakufa dubai au Doha kisa watu hawaendi misikitini na kila siku ni bata batani!!!
 
View attachment 2500797

ReutersCopyright: Reuters
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema kuwa Ankara inaweza kukubali Finland kujiunga na Nato, lakini si Sweden.

Alikosoa hatua ya Uswidi kukataa kuwarejesha makumi ya watu wanaodaiwa kufungwa kwa makundi ya wapiganaji wa Kikurdi na wakosoaji wengine wa serikali yake.

"Ikiwa unataka kabisa kujiunga na Nato, utaturudishia magaidi hawa," alisema Bw Erdogan. Maoni yake yanakuja siku chache baada ya Uturuki kusitisha mazungumzo ya kukubali mataifa hayo mawili ya Nordic kuwa wanachama.

Hatua hiyo ilichochewa na msururu wa maandamano yenye utata mjini Stockholm, likiwemo lile ambalo nakala ya Quran ilichomwa moto.

Maafisa wa Uswidi wamelaani maandamano hayo, lakini wametetea sheria za uhuru wa kujieleza nchini humo.

Kujibu uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, Uswidi na Ufini zilituma maombi ya kujiunga na Nato mwaka jana, na hivyo kumaliza miongo kadhaa ya kutojiunga na jeshi.

Ombi lao lazima liidhinishwe kwa kauli moja na wanachama wote wa sasa wa Nato, lakini Uturuki na Hungary zimeshindwa kuidhinisha.

Katika hotuba yake, Bw Erdogan alisema Uturuki sasa inaweza "kutoa jibu tofauti kuhusu Finland," akiongeza kuwa "Sweden itashtuka". "Tuliipa Uswidi orodha ya watu 120 na tukawaambia kuwarudisha magaidi hao nchini mwao," alisema Bw Erdogan. "Ikiwa hautawakabidhi, basi samahani kwa hilo." chanzo BBC.News
Wangekuwa wanaweza kumtoa uturuki wangeshamtoa zamaniiiii sababu uturuki haburuzwi yy ana misimamo ya nchi yake kiuchumi kama sasa hv nato wenzake wanamuwekea vikwazo russia yy ndio anaanza ujenzi wa bomba la gesi,tatizo mnaichukulia turkey easy
Uturuki ashajibiwa zaman na Biden kwamba hawashi wala kuzima, ni suala la muda tu kumalisha hayo maombo kwa hizo nchi zitakajiounga Nato., na kuna wakati Uturuki ana mchuma chuma Urusi kujua siri zake halafu aziwasilishe makao makuu Washington., Mturuki katika hii vita US wanamtumilia sana na Putin haamki kujua hili jambo
 
We d

We dini ya babu yako iko wapi?
Tunayo kilingeni KARIGWA karibu kijana tukupike upikike mizimu ya babu zako inakusubiri kwa hamu!!!!!Wewe ni muafirika usikatae asili yako kwa kutukuza lugha na dini za kigeni
 
Back
Top Bottom