Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Wamejifunza kutokana na vita za nyuma huko ulaya!!!Mimi nakaa na wazungu najua umoja wao na najua wanavyopenda kuilinda race yao!!!!Usitegemee wazungu wa ulaya wakawapa favour waturuki kuliko wazungu wenzao!!!Kaishi na wazungu popote pale ndio utaelewa hiki nachokisemaWazungu hawana kujuana kuna maslahi , kasome waswedish waliwafanyia nini Wadenmark na wa Norway wakati wa vita vya 2 vya dunia , sio siri hiyo