Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Sio kwamba hawana muelekea bali ni watu wenye kuchukia dini za kigeni especially uislamu kaka!!!!Wanapatikana nchi zote duniani kaka!!!!Au umesahau yule mchezaji aliyejichora tattoo ya yesu yalitomkuta wakati anachezea ligi kuu ya saudi arabia????Nani alikuambia Mimi sijakaa huko ?
Ndugu si kila kitu kinaandikwa magazetini, Hao wakurdi unaosema wengi wamejiigiza kwenye vyama vya Sweden na wengine wana vyeo. Pia chama cha mrengo wa kushoto wamesema wao wanataka ipigwe kura ya maoni , watu wachangie kujiunga au la. Hawa wabaguzi waliochoma Qurani ni watu wasio na mwelekeo hawako clear ndio ukaona wmowamo tu . Na wengine ndio Hao wanaochoma Quran.
Tatizo kubwa la Sweden ni kuwa bado wananunua mafuta na gesi pamoja na baadhi ya madini kutoka Urusi. Kuwacha mara moja na huku kuna watu wanafaidika ni kuwatia yonge kinywani. Hili ni tatizo kubwa sana.
Sasa hapo kuna urahisi wa kuingia Nato?