Erdogan asema Uturuki inaweza kuzuia ombi la Uswidi la uanachama wa NATO

Erdogan asema Uturuki inaweza kuzuia ombi la Uswidi la uanachama wa NATO

Wairudishe Constantinople kwanza
Waturuki hawawezi kuirudisha Constantinople mpaka vita ipiganwe kama ambavyo walifanyiwa balkan states walipogoma kuachia makoloni yao huko mpaka kwa vita kama ambavyo wamoor walivyonyanganywa maeneo ya uhispania kusini baada ya kuyakalia kwa miaka 400!!!!Lakini ottoman empire almost visiwa vyote waliirudishia ugiriki kasoro kimoja au viwili na cyprus wanaigombania nusu kwa nusu mpaka leo!!!!!
 
Una jifanya unaijua Ulaya lakini ona ulivyo mweupe kichwani, kwenye nchi hizo 3 ulizo zitaja watu wenye asili ya kituruki hawazidi hata aslimia 1 ya raia wote wa nchi hizo asilimia kubwa ya raia wa nchi hizo ni wazungu kutoka maeneo mbali mbali kutoka Ulaya mashariki sema wao ni waislam kwa sababu ya kutawaliwa na Ottoman.

Kuhusu dini nchi zote tatu ulizo zitaja zina asilimia kubwa ya waislam kuliko dini yeyote kuanzia Albania asilimia 59 ya raia wake ni waislam wakati wakristo wakiwa ni asilimia 17 tu ,Kosovo aslimia 95 ya raia wake ni waislam wakati wakristo ni asilimia 1 tu, labda kwa bosinia ndo kuna uwiano kidogo maana waislam ni aslimia 51wakati wakristo ni aslimia 47.

Mkuu kubali tu kuwa hoja yako ya dini imekosa mashiko.

Ngoja nikuwekee na data kabisa ili uibishie na Wikipedia.View attachment 2501078View attachment 2501079View attachment 2501080
Kaka hiyo source yako ni ya google!!!Nenda sarajevo ndio utaelewa au nenda pristina!!!!Achana na mambo ya kutafuta ukweli kwenye google!!!Google ni chombo cha propaganda kaka
 
Kwa hiyo unataka kuniambia kwenye agano jipya hakuna amri kumi za mungu?
Mimi sio mkristo tutafute wakrsto watusaidie katika hili ndio wana maelezo mazuri zaidi!!!Mimi dini yangu tofauti na hizi dini zenu kaka!!Mimi mbantu asilia tuna dini zetu hapa afrika!!!
 
Watajiunga tu na NATO!!!Kaka sio nisome siasa za swedeni bali nimeishi huko kaka!!!Wanaochoma Quran ni wanasiasa wenye mrengo wa kulia wanaopinga wahamiaji!!!Hakuna tofauti na kesi ya Indonesia pale serikali ya jimbo moja ilipoamua kuchoma dozeni za biblia!!!!Ni masuala ya siasa za ndani
Wanachoma Bibles na wakati ukingia Android unaikuta Bibles.
Wangekataaa na Android system
 
Hao waturuki siku zao zinahesabika. Kwanza wajue wazungu hawawataki.
 
Una jifanya unaijua Ulaya lakini ona ulivyo mweupe kichwani, kwenye nchi hizo 3 ulizo zitaja watu wenye asili ya kituruki hawazidi hata aslimia 1 ya raia wote wa nchi hizo asilimia kubwa ya raia wa nchi hizo ni wazungu kutoka maeneo mbali mbali kutoka Ulaya mashariki sema wao ni waislam kwa sababu ya kutawaliwa na Ottoman.

Kuhusu dini nchi zote tatu ulizo zitaja zina asilimia kubwa ya waislam kuliko dini yeyote kuanzia Albania asilimia 59 ya raia wake ni waislam wakati wakristo wakiwa ni asilimia 17 tu ,Kosovo aslimia 95 ya raia wake ni waislam wakati wakristo ni asilimia 1 tu, labda kwa bosinia ndo kuna uwiano kidogo maana waislam ni aslimia 51wakati wakristo ni aslimia 47.

Mkuu kubali tu kuwa hoja yako ya dini imekosa mashiko.

Ngoja nikuwekee na data kabisa ili uibishie na Wikipedia.View attachment 2501078View attachment 2501079View attachment 2501080
Acha google nenda kaone hao wanaojiita wazungu katika nchi hizo afu waislamu chimbuko lao ni wapi!!!!!!Hata raisi wa uturuki Mh Tayyep alisema kipindi kile wakati kosovo inafungua ubalozi wa Israel na yeye kupinga hilo jambo kua huwezi kuitenganisha Balkans area na uturuki!!!Katika nyanja zote kihistoria,kiuchumi na kijeshi!!
 
Wanachoma Bibles na wakati ukingia Android unaikuta Bibles.
Wangekataaa na Android system
Walichoma biblia sababu ziliandikwa kwa lugha ya kwao huku zikitumia neno allah mahali pa neno yehova!!!Wakasema zinamkufuru Mungu wao!!!Gavana wa jimbo hilo akaagiza kontena zote zilibeba biblia zichomwe moto
 
Hao waturuki siku zao zinahesabika. Kwanza wajue wazungu hawawataki.
Ndio maana waturuki waliozaliwa balkani areas kama bosinia,albania,coratia,kosovo Serbia wote hao wanajiita wazungu wa ulaya na hawajinasibishi kwa chochote na uturuki labda dini maana imani ina nguvu kuliko siasa!!!
 
View attachment 2500797

ReutersCopyright: Reuters
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema kuwa Ankara inaweza kukubali Finland kujiunga na Nato, lakini si Sweden.

Alikosoa hatua ya Uswidi kukataa kuwarejesha makumi ya watu wanaodaiwa kufungwa kwa makundi ya wapiganaji wa Kikurdi na wakosoaji wengine wa serikali yake.

"Ikiwa unataka kabisa kujiunga na Nato, utaturudishia magaidi hawa," alisema Bw Erdogan. Maoni yake yanakuja siku chache baada ya Uturuki kusitisha mazungumzo ya kukubali mataifa hayo mawili ya Nordic kuwa wanachama.

Hatua hiyo ilichochewa na msururu wa maandamano yenye utata mjini Stockholm, likiwemo lile ambalo nakala ya Quran ilichomwa moto.

Maafisa wa Uswidi wamelaani maandamano hayo, lakini wametetea sheria za uhuru wa kujieleza nchini humo.

Kujibu uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, Uswidi na Ufini zilituma maombi ya kujiunga na Nato mwaka jana, na hivyo kumaliza miongo kadhaa ya kutojiunga na jeshi.

Ombi lao lazima liidhinishwe kwa kauli moja na wanachama wote wa sasa wa Nato, lakini Uturuki na Hungary zimeshindwa kuidhinisha.

Katika hotuba yake, Bw Erdogan alisema Uturuki sasa inaweza "kutoa jibu tofauti kuhusu Finland," akiongeza kuwa "Sweden itashtuka". "Tuliipa Uswidi orodha ya watu 120 na tukawaambia kuwarudisha magaidi hao nchini mwao," alisema Bw Erdogan. "Ikiwa hautawakabidhi, basi samahani kwa hilo." chanzo BBC.News
atajikuta anaundiwa zengwe akaondolewa NATO au influence yake ikazimwa kama ambavyo eu hawamtaki.
 
Acha google nenda kaone hao wanaojiita wazungu katika nchi hizo afu waislamu chimbuko lao ni wapi!!!!!!Hata raisi wa uturuki Mh Tayyep alisema kipindi kile wakati kosovo inafungua ubalozi wa Israel na yeye kupinga hilo jambo kua huwezi kuitenganisha Balkans area na uturuki!!!Katika nyanja zote kihistoria,kiuchumi na kijeshi!!
Mkuu unataka kuzidisha ujuaji sasa.

Hivi ata ukichukua mturuki na mualibania ukawaweka hapo hivi wana fanana hata kidogo kweli? Mtu mwenye asili ya kituruki ana julikana hawezi kujifananisha na mzungu hata siku moja haiwezekani.

Mwisho utatuambia kuwa Wachechinia ni waarabu walio jipa uzungu kwa sababu ya uislam wao.

Kuhusu maneno ya Erdogan alisema hivyo kwa sababu ya otoman ilitawala eneo hilo.
 
Kivipi tena hakihusiki hapa? Wewe jamaa unakazwa na jini
Huyu nae eti great thinker yupo humu jamiiforum,, I'd fake zisikufanye ukakosa adabu,, au mpaka siku unione chumbani kwa mama ako huku nimeva taulo na mama yako ana upande wa khanga nafikiri ndo utaniheshimu,,,
 
Mkuu unataka kuzidisha ujuaji sasa.

Hivi ata ukichukua mturuki na mualibania ukawaweka hapo hivi wana fanana hata kidogo kweli? Mtu mwenye asili ya kituruki ana julikana hawezi kujifananisha na mzungu hata siku moja haiwezekani.

Mwisho utatuambia kuwa Wachechinia ni waarabu walio jipa uzungu kwa sababu ya uislam wao.

Kuhusu maneno ya Erdogan alisema hivyo kwa sababu ya otoman ilitawala eneo hilo.
Kaka wewe huijui historia ya ottoman empire na nchi za balkani!!!!Katafute kwanza historia ya ottoman empire na nchi za balkan kuanzia mwaka 1419 hadi mwaka 1920!!!!!
 
Wakristo nyie ni vichaa sana! Jibu hoja kunguni we
Sio waafrika wakristo ni vichaa tu hata waislamu waafrika ni vichaa pia!!!Nyie waafrika wote mlioacha dini za babu zenu ni vichaa!!!!¡Naona mnaitana kunguni kwa kupigania dini za wageni🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu unataka kuzidisha ujuaji sasa.

Hivi ata ukichukua mturuki na mualibania ukawaweka hapo hivi wana fanana hata kidogo kweli? Mtu mwenye asili ya kituruki ana julikana hawezi kujifananisha na mzungu hata siku moja haiwezekani.

Mwisho utatuambia kuwa Wachechinia ni waarabu walio jipa uzungu kwa sababu ya uislam wao.

Kuhusu maneno ya Erdogan alisema hivyo kwa sababu ya otoman ilitawala eneo hilo.
Hamjui historia ya balikani area na ottoman empire!!!Kuhusu wachecheni hawana tofauti na tartar na wakrigy na wazbeki na waazeri na jamii zote za asia ya kati hasa wamongoli na waturky na kusini mwa russia ambao waliuchukua uislam toka karne ya 3 na lugha zao wote hao zinashabihana na kituruki!!!!Na huwezi kusema wachecheni ni wazungu na tartar sio wazungu japo wanaishi kwa karne nyingi urusi ndani ndani!!!Jamii za wachecheni asili yake inajulikana sio ulaya ni asia ya kati na waazeri wa Caspian sea!!
 
Back
Top Bottom