Erdogan asema Uturuki inaweza kuzuia ombi la Uswidi la uanachama wa NATO

Dikteta Erdoğan na Orban ni majipu makubwa sana katika NATO na EU.
 

Burning of Qur’an in Stockholm funded by journalist with Kremlin ties
 
Wangekuwa wanaweza kumtoa uturuki wangeshamtoa zamaniiiii sababu uturuki haburuzwi yy ana misimamo ya nchi yake kiuchumi kama sasa hv nato wenzake wanamuwekea vikwazo russia yy ndio anaanza ujenzi wa bomba la gesi,tatizo mnaichukulia turkey easy


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…