Erectile dysfunction !!

Erectile dysfunction na Upungufu wa nguvu za kiume ni vitu viwili tofauti mzee...

-Erectile dysfunction ni tatizo la uume kushindwa kusimama kabisa au kutosimama vizuri
-Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo la kuchukua muda mfupi wakati wa kufanya tendo la ndoa...kukojoa haraka au kutoweza kufanya tendo kwa muda mrefu.
 
Tengeneza juice ya mchanganyiko huu. Tende, maziwa, asali, karoti, tikiti na mbegu zake na tangawizi kwa pamoja.... Kunywa mara tatu kwa wiki itakusaidia sana. Utaanza kuona matokeo chanya.

Mkuu ilikua naomba mafafanuzi ya ziada. ilikua naomba vipimo vya ivo vitu ulivovitaja kimatumizi. Yani kama asali kipimo gani, tikiti kipimo gani tende na vyenginevyo.
Na pia kuhusu matumizi umekusudia ndani ya wiki utumie mara 3 au ? na kwa ujazo gani ?
 
Tengeneza juice ya mchanganyiko huu. Tende, maziwa, asali, karoti, tikiti na mbegu zake na tangawizi kwa pamoja.... Kunywa mara tatu kwa wiki itakusaidia sana. Utaanza kuona matokeo chanya.
Kwa viwango gani ..?/vipimo
 
pesa c kilakitu mkuu maswala ya erictile yanahitaj utilivu wa akili na mazoezi Kwan hata ukitumia nn Kama uko mental disorder is nothing
Sijasema pesa ni kila kitu. Akili itatulia vipi ma huna pesa? Pesa ni jawabu.
Mfano unadaiwa kodi ya nyumba zaidi ya miezi mitatu, watoto wako nyumbani wamerudishwa ada,chakula cha watoto huna. Unadhani utasimamisha kweli? Ukiwa na pesa zinapelekea utulivu wa akili na hisia. Hivyo mambo kuwa mujarabu.
Kama una mahitaji mengi kuliko kipato utaapata maradhi mengi hasa ya kiakili, kama vipi apige deki tu Mungu kamjalia ulimi.
 
Ninaomba yeyote anayejua dawa za kiasili au za hospital zinazotibu ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume anifahamishe napata tabu sana ...kimoko chali!!!!!
Fanya mazoezi...usile chips chips sana
 
Ninaomba yeyote anayejua dawa za kiasili au za hospital zinazotibu ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume anifahamishe napata tabu sana ...kimoko chali!!!!!
tadalafil 20 mg hii itakufaa. na uache kupiga punyeto.
 
Ninaomba yeyote anayejua dawa za kiasili au za hospital zinazotibu ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume anifahamishe napata tabu sana ...kimoko chali!!!!!
Asali
Ndimu
Kitunguu saumu
Karanga mbichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…