mwanaNjilo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 277
- 195
Nenda magomeniLinapatkanaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda magomeniLinapatkanaje
Ninaomba yeyote anayejua dawa za kiasili au za hospital zinazotibu ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume anifahamishe napata tabu sana ...kimoko chali!!!!!
Vumbi la mkongo chief.
PM meLinapatkanaje
Tengeneza juice ya mchanganyiko huu. Tende, maziwa, asali, karoti, tikiti na mbegu zake na tangawizi kwa pamoja.... Kunywa mara tatu kwa wiki itakusaidia sana. Utaanza kuona matokeo chanya.
pesa c kilakitu mkuu maswala ya erictile yanahitaj utilivu wa akili na mazoezi Kwan hata ukitumia nn Kama uko mental disorder is nothingTafuta pesa mkuu ndio dawa sahihi.
Sijasema pesa ni kila kitu. Akili itatulia vipi ma huna pesa? Pesa ni jawabu.pesa c kilakitu mkuu maswala ya erictile yanahitaj utilivu wa akili na mazoezi Kwan hata ukitumia nn Kama uko mental disorder is nothing
Fanya mazoezi...usile chips chips sanaNinaomba yeyote anayejua dawa za kiasili au za hospital zinazotibu ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume anifahamishe napata tabu sana ...kimoko chali!!!!!
Sure mkuu,mazoezi ndiyo tiba tosha...Mazoezi jamani mazoezi ya mwili hii miili minene ya kupatia mkopo haifai kutunzia ndoa. Kazi yake ni kuvaa suti na kuombea mkopo over
nakubaliana nawewMazoezi jamani mazoezi ya mwili hii miili minene ya kupatia mkopo haifai kutunzia ndoa. Kazi yake ni kuvaa suti na kuombea mkopo over
tadalafil 20 mg hii itakufaa. na uache kupiga punyeto.Ninaomba yeyote anayejua dawa za kiasili au za hospital zinazotibu ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume anifahamishe napata tabu sana ...kimoko chali!!!!!
AsaliNinaomba yeyote anayejua dawa za kiasili au za hospital zinazotibu ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume anifahamishe napata tabu sana ...kimoko chali!!!!!