Eric Kabendera acha kudanganya umma, ukweli wa kifo cha Ben Saanane uko kwenye huu uzi

Wewe akili ndogo huwezi elewa hili
 
Magufuli hawezi kuwa sio smart kiasi ulicho andika
Kwani was Magufuli smart? Mbona alimtaja mpaka aliekua anawapa siri za Acacia? Mbona alimtaja hadi diwani athuman kuwa alikua "TISS" miaka yote. Hivi si ndio huyu aliwatishia wapiga kura wa Busega kuwa wakimletea mbunge wa chadema haleti mradi wa maji!!.

JPM alikua mtu wa maamuzi ya haraka bila kupima matokeo so siwezi shangaa akifanya na hili. Mnaomuita smart ndio nyie low iq
 
Kakujengea daraja, kila siku ukitoka kwenu kitunda unapita juu na ki vitz chako.

Hilo nalo hulioni?
Kujenga daraja hakuhitaji kuwa smart, just moderate brain tu. Sifa kubwa inatakiwa iwnde kwa engineers na designers mpaka technicians

Althought na mpongeza kwa kuwezesha hilo, all you need ni maamuzi , kwa aina ya mifumo ya uongozi tuliyonqyo
 
Magufuli hawezi kuwa sio smart kiasi ulicho andika ni low IQ people ndio wataamini hiki ulichoandika
Kwamba JPM alikua na IQ Kubwa? Mbona alikua anaropoka mpaka undercover agents aliokua anawapachika kupeleleza mashirika. Hivi si ndio huyu JPM aliambia dunia nzima kuwa Acacia ni majizi ila akamteua Makamu wa Rais wa Acacia hapa Tanzania Mhe. Mwanyika kugombea ubunge na akampigia kampeni kabisa.

Kwa hiyo tabia ya uropokaji ile inaonyesha anaweza fanya lolote tu analojisikia hata kama lina madhara baadae. Hii tabia anayo Makonda pia!! Watu wa kukurupuka tu bila kufikiri mara mbili.
 
Sisi tunamuamini Kabendera.
Wewe ndo mzushi sasa
 
Kakujengea daraja, kila siku ukitoka kwenu kitunda unapita juu na ki vitz chako.

Hilo nalo hulioni?
Mkuu kwa hilo daraja alilijenga kwa mikono yake mwenyewe na hela hela zake mwenyewe???
 

Chawa pro max
 
Mkuu kwa hilo daraja alilijenga kwa mikono yake mwenyewe na hela hela zake mwenyewe???
Maamuzi yake mwenyewe, bila maamuzi yake huenda pale buguruni pangeendelea kuwa na foleni.

Who knows?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…