#COVID19 Eric Kabendera: Magufuli alifariki kwa COVID-19 mwaka 2021

Huwa unaongea pumba nyingi sana, Magufuli ni nani mpaka ahitajake dogo wa kumpa au kumsambazia ikiwa Biden rais mwenye ulinzi namba moja duniani alipata COVID?!
 
Hivi covid iliendaga wapi? Na chanjo zipo? Mie nilikuwa nimemsubiri kwa hamu waziri wa afya anilazimishe kuchoma sindano!! Ningempa za uso nakwambia!! Covid was man made to eradicate poor people like Africans .God is great!! It backfired!!
Polio ilenda wapi?
Ndui ilienda wapi?
Kipindupindu kimeenda wapi?
 
Wakati kabendera amefungwa,inasemekana wafungwa wenzake walimfanya vibaya at its buttocks Hadi akachanganyikiwa.Kitabu chake amekiandika akiwa kwenye kuchanganyikiwa ndiyo maana 90% ya aliyoyaandika ni uongo
 
Covid ilikua ni scam, wazungu wenyewe wanajua.

BBC ilitumika kama chombo cha propaganda kuikuza na kufanya lionekane liugonjwa kuuuuubwa.

Watu wachache walistukia hiyo kitu, one of them alikua Magufuli.

Mbona ilipofika hapa kwetu hatukuona watu laki wakifa kwa siku? Wewe kama wewe una ndugu yako au uliwahi kushuhudia mtu akianguka na kufa kwa covid?

Wengi walikufa kwa wasiwasi kwa zile propaganda za BBC.

Magu alipojaribu kuwachezesha watu wa afya kwa kupeleka sample za papai aliwaumbua sana wazungu, sema ni vile taifa letu lipo matakoni mwa dunia, ila ingekua mchezo huo umefanyika nchi kama marekani
 
The positive aspect is that he passed away while fearlessly defending his beliefs, standing firm in the face of intimidation, and refusing to bow to the imperialists, making him a true hero.
Thank you very much for your comment. Even if he died from COVD-19, i tell you the brave man died at war with the imperialists who keep on creating diseases for their own good.
 
Umenena vyema
 
Kimsingi Covid-19 ilitumika kama Camouflage, the rest is History.
Postmortem bsada ya kukaa na mwili kwa siku kadhaa bila umma kuarifiwa inathibitisha kwamba covid ni kichaka tu na kwamba lipo jambo nyuma ya pazia?

Haya madai yako yanawaweka ktk position gani wafuatao?


3. Mkurugenzi wa usalama wa taifa
4.
5 dereva wa magufuli
6. Aliyekuwa makamu wa magufuli
7.

Na wengineo?
 
Nafsi zao zitawahukumu tu mwisho wa siku. Ila i don't believe in such story as Covid-19. Sikuwahi kupiga chanjo na wala sikuwahi hata kushikwa na mafua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…