Stand-up comedian na human rights activist Eric Omondi amesema kampeni yake inayoongozwa na Gen Z tayari imekusanya zaidi ya signatures 430,000 zinazounga mkono referendum ya kubadilisha Katiba ili kupunguza idadi ya counties kutoka 47 hadi 8 za zamani.
Akizungumza kwenye mahojiano na vyombo vya habari Alhamisi, Julai 9, 2026, Eric alisema bado wanahitaji takriban signatures 500,000 zaidi ili kufikisha idadi inayohitajika kabla ya hatua inayofuata ya mchakato wa referendum.
Kwa mujibu wa Eric, lengo la mpango huo ni kupunguza gharama za uongozi nchini kwa kuondoa baadhi ya nafasi za uongozi ambazo anasema si muhimu. Alitaja nafasi kama Women Representatives, Senators, nominated leaders pamoja na baadhi ya nyadhifa za serikali.
Eric pia alidai kuwa mfumo wa sasa una viongozi wengi wanaomwakilisha mwananchi mmoja, jambo ambalo amesema limechangia matumizi makubwa ya fedha za umma na kuongeza nafasi za ufisadi.
Aidha, alikosoa mfumo wa devolution akisema ingawa ulianzishwa kwa nia njema ya kupeleka maendeleo mashinani, kwa maoni yake umeishia kuhamisha corruption, nepotism na tribalism katika serikali za kaunti.
Hata hivyo, madai ya Eric Omondi kuhusu idadi ya signatures zilizokusanywa na mapendekezo ya referendum bado