Eric Omondi kaja na parody ya ‘The Gods Must Be Crazy’

Sanaa ya kuiga hajaianza Omondi..!
Watu wengi sana walio na majina makubwa dunia kwenye tasnia ya Sanaa.. walianza kwa Kuiga kazi za watu wanaowaAdmire.. nao walidharauliwa sana..
Kwahiyo wewe nawe unapita humohumo..
Na hawezi badilisha kitu kwa chuki zake
 
Yule Tajiri mufupi Steve Nyenyere Ana kipi cha kusema kuhusu hili?!
 
Kwa hili wakenya mnawakilishwa kwa tabia yenu ya ujanja ujanja kila nyanja.

Huyu jamaa sioni kama ni mpambanaji.
 
Huyu jamaa kwa kusafiria nyota za watu hajambo, alianza na kina Diamond na Magufuli sahivi kahamia kwenye muvi maarufu
Omondi hakuanza kipindi cha magufuri wala Diamond, wewe kama umemjua omondi zama za diamond na magufuri basi umechelewa, yupo muda mrefu tu akichekesha kwenye jumba la night of thousand laugh.
 
Omondi hakuanza kipindi cha magufuri wala Diamond, wewe kama umemjua omondi zama za diamond na magufuri basi umechelewa, yupo muda mrefu tu akichekesha kwenye jumba la night of thousand laugh.
"Jumba la night of thousand laugh"?! Au unamaanisha "Churchill show"?!

Night of thousand laughs ni wanaijeria kina Basket mouth, kink the drunk nk..
 
Huyu jamaa anajitahidi kuwa mbunifu, sio kama MC Pilipili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…