Activity Ratio
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 554
- 577
Wamarekani wana msemo wao unaosema "fake it until you make it"Hachekeshi huyu jamaa.kazi kuiga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamarekani wana msemo wao unaosema "fake it until you make it"Hachekeshi huyu jamaa.kazi kuiga
Aliye mpiga picha hiyo sijui jinsia gani?[emoji33]Kweli wanaume tunakula kwa jasho hadi kufikia hatua hii matako yote wazi[emoji116]![]()
Na hawezi badilisha kitu kwa chuki zakeSanaa ya kuiga hajaianza Omondi..!
Watu wengi sana walio na majina makubwa dunia kwenye tasnia ya Sanaa.. walianza kwa Kuiga kazi za watu wanaowaAdmire.. nao walidharauliwa sana..
Kwahiyo wewe nawe unapita humohumo..
Mjalu0Kwa hili wakenya mnawakilishwa kwa tabia yenu ya ujanja ujanja kila nyanja.
Huyu jamaa sioni kama ni mpambanaji.
that's true bro, so many people their using such technics broWamarekani wana msemo wao unaosema "fake it until you make it"
"Nyingine hii hapaWamarekani wana msemo wao unaosema "fake it until you make it"
Ama kweliKweli wanaume tunakula kwa jasho hadi kufikia hatua hii matako yote wazi[emoji116]![]()
Omondi hakuanza kipindi cha magufuri wala Diamond, wewe kama umemjua omondi zama za diamond na magufuri basi umechelewa, yupo muda mrefu tu akichekesha kwenye jumba la night of thousand laugh.Huyu jamaa kwa kusafiria nyota za watu hajambo, alianza na kina Diamond na Magufuli sahivi kahamia kwenye muvi maarufu
Du inye nje nje 😳 😳Kweli wanaume tunakula kwa jasho hadi kufikia hatua hii matako yote wazi[emoji116]![]()
"Jumba la night of thousand laugh"?! Au unamaanisha "Churchill show"?!Omondi hakuanza kipindi cha magufuri wala Diamond, wewe kama umemjua omondi zama za diamond na magufuri basi umechelewa, yupo muda mrefu tu akichekesha kwenye jumba la night of thousand laugh.
Jamaa anafanya hii kitu kama kazi..Jamaa fundi, anafanya vitu beyond peoples expectations