Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alie anzisha pesa !Kweli wanaume tunakula kwa jasho hadi kufikia hatua hii matako yote wazi[emoji116]![]()
Sanaa ya kuiga hajaianza Omondi..!Hachekeshi huyu jamaa.kazi kuiga
Huyu haigizi anafanya parody for the aim of getting money and fame.He lacks creativity as a comedian(well known) sio kama hao walioanza kwa kuiga(not parody) walikua hawajulikani.Sanaa ya kuiga hajaianza Omondi..!
Watu wengi sana walio na majina makubwa dunia kwenye tasnia ya Sanaa.. walianza kwa Kuiga kazi za watu wanaowaAdmire.. nao walidharauliwa sana..
Kwahiyo wewe nawe unapita humohumo..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]Kweli wanaume tunakula kwa jasho hadi kufikia hatua hii matako yote wazi[emoji116]![]()
Pesa ni kitu ingine mkuuHahahahb! Hv ana mke huyu jamaa?maana wakwe watakua wanamcheki matako,dah!