Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blaza wacha mfananisha Omondi na Watu wa Kutokea Maswa huko ndani ndanii..Huyu jamaa anajitahidi kuwa mbunifu, sio kama MC Pilipili
Huyu jamaa anajitahidi kuwa mbunifu, sio kama MC Pilipili
kumbe MC Pilipili ni comedian??? sijaona cha maana kwake zaidi ya mtu mwenye kupiga makelele
Haina jinsia hyo,ya kushona kwa cherehani mtaaniNashindwa kuelewa kama hii ni chupi ya kiume au kike! [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Huo ni ubunifu hasa, kwa kuongeza thamani.Kaongeza msichana mzuri kugunduliwa kwenye handaki na kugombaniwa,...... hata title kaiongezea thamani from Gods Must Be Crazy to Gods Aren't Crazy, We Are.Sasa hapo kuna ubunifu gani? Kuiga ndio ubunifu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari tupu Ndugu yanguKweli wanaume tunakula kwa jasho hadi kufikia hatua hii matako yote wazi[emoji116]![]()
Ni sawa msanii ajitokeze kuimba wimbo 'Acha porojo ruka muziki' halafu umsifie eti mbunifuHuo ni ubunifu hasa, kwa kuongeza thamani.Kaongeza msichana mzuri kugunduliwa kwenye handaki na kugombaniwa,...... hata title kaiongezea thamani from Gods Must Be Crazy to Gods Aren't Crazy, We Are.
Huoni kaubunifu hapo kaka?