Eric Omondi: Msanii lazima asimame na Wananchi ni kioo cha jamii, Si busara Msanii kuongea kwa niaba ya Serikali

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa na Citizen TV Kenya, Septemba 30, 2026, Mchekeshaji maarufu kutoka Kenya, Erick Omondi, amesema Msanii au Influencer lazima asimame na wananchi kwani ni kioo cha jamii.

Eric Omondi ameeleza kuwa viongozi wa kisiasa huja na kuondoka, lakini wasanii hubaki na wananchi, hivyo ni kosa kubwa kwa msanii kutetea ajenda za serikali au kuzungumza kwa niaba ya Serikali.


Your browser is not able to display this video.

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…