Eric Omondi umefanya tukio la aibu kwa watanzania

Lulu kapigiwa denda dar aibu tupate tarime[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Unaweza kukuta mdomo wa Lulu ni kama "testa" ya ladha ya midomo ya washikaji. Akionja mdomo anajua hadi mfukoni kuna dollars ngapi za Zimbabwe. Hahahahaaa!
 
Kapicha plz
Kapicha?!!...umenkumbusha kuna uzi mmoja kwenye jukwaa JF Doctor mtu alishusha kitu watu wakalalamika kuwekwa picha, mdau mmoja akauliza si huwa kila kitu huwa mnaomba ushahidi sasa huo
 
Wivu tu, subiri lulu mwenyewe alalamike kama amekwazika, ww ni nani?
 
Lulu anawakilisha Nchi vema.
Mbona uganda hawalalamiki kwa dada yao Zari?

Fungueni shule bhanaa, likizo imekwishaa
 
Sikuona denda kama mleta uzi alivyoandika inawezekana tunaotumia tv za chogo hatukuona vizuri
 
mimi mwenye nimeshuhudia tena bila kuhadithia ila hajampiga denda, usichume dhambi. lulu alimbusu tu eric
 

Attachments

  • IMG_20170627_002716_638.JPG
    24.3 KB · Views: 42
Sio kila mwenye uwezo wa kusoma na kuandika aanzishe thread, JF siku hizi imejaa ukurutu mtupu, Omondi ni mchekeshaji he can do whatever the hell he want akiwa anafanya mambo yake so long he sees kinachekesha, sasa wewe unaona ile ni offence! Grow up.
 
UKIONA CHA NINI WENZIO WATAKIPATA LINI TULIZA NANII MSUMARI UINGIE NANI KAKUTUMA KWA WASSANII
 
Hadhira iliyokuwepo eneo la tukio ilifurahi na kushangilia, ni moja ya kazi ya sanaa. Hongera Erick kwa ubunifu
 
hyo ndio STAND UP COMMED kinacho kuja akilimi mwako ndo unakitoa... na usipotoshe kubusu na kula denda ni vitu viwili tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…