Eric Omondi umefanya tukio la aibu kwa watanzania

Eric Omondi umefanya tukio la aibu kwa watanzania

Sio kila mwenye uwezo wa kusoma na kuandika aanzishe thread, JF siku hizi imejaa ukurutu mtupu, Omondi ni mchekeshaji he can do whatever the hell he want akiwa anafanya mambo yake so long he sees kinachekesha, sasa wewe unaona ile ni offence! Grow up.
Aisee ..kumbe dunia ni nyepesi kiasi hiko. "He can do whatever he want" ..kisa ni Commedia . [emoji53] [emoji53] .. kumbe comedia ni kama diplomatic eeh. ..
 
mimi mwenye nimeshuhudia tena bila kuhadithia ila hajampiga denda, usichume dhambi. lulu alimbusu tu eric
Tafuta muda urudie vyema , baada ya Compliment Kiss ya kwanza ..Eric alirudia na Kumshtukiza Bint wa Watu Lip Kiss .
 
Mimi nimekimbia kote huuuko kuiwahi thread, nikadhani ni kitu cha msingi kumbe busu....woooooiiii
fd5bc33d6a842f945790c9d59962d9ca.jpg
 
Madogo wengine baha!!! Mimi waganda wananijua kwa kuwatoa maji lakini sijawahi wapost. Lakin denda mtu anakomaa kama kapigwa yeye!! Lulu mwenyewe choka mbaya yule bora aliwe mate tuuu
 
Lulu yupo single so lazima ajipitishe pitishe kwa eric apatepo ka ada ka mdogo wake
 
Sasa lile denda? Na angepigwa kweli la nusu kikombe si ungelipuka zaidi ya ivyo
 
Back
Top Bottom