Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee ..kumbe dunia ni nyepesi kiasi hiko. "He can do whatever he want" ..kisa ni Commedia . [emoji53] [emoji53] .. kumbe comedia ni kama diplomatic eeh. ..Sio kila mwenye uwezo wa kusoma na kuandika aanzishe thread, JF siku hizi imejaa ukurutu mtupu, Omondi ni mchekeshaji he can do whatever the hell he want akiwa anafanya mambo yake so long he sees kinachekesha, sasa wewe unaona ile ni offence! Grow up.
Tafuta muda urudie vyema , baada ya Compliment Kiss ya kwanza ..Eric alirudia na Kumshtukiza Bint wa Watu Lip Kiss .mimi mwenye nimeshuhudia tena bila kuhadithia ila hajampiga denda, usichume dhambi. lulu alimbusu tu eric
Yapwivu ni kidonda ukishiriki utakonda....sijaona cha ajabu amemkiss tu kuonyesha love.
Madogo yana nafuuMakubwa!...
Ndo hapo sasamimi mwenye nimeshuhudia tena bila kuhadithia ila hajampiga denda, usichume dhambi. lulu alimbusu tu eric
Mkuu unatokea igunga nn[emoji16][emoji16][emoji125]dah
mkuu igunga ndo kuna washamba??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wonderful, mtu kaamua kutoa juice ya ulimi jamaa ananuna eti hadi analeta uzi.Mimi nimekimbia kote huuuko kuiwahi thread, nikadhani ni kitu cha msingi kumbe busu....woooooiiii![]()
Unajua denda wewe?
Natafuta hapa ' mantiki ' yako katika hiki ulichokiandika sikioni labda wale walioipata watanisaidia kunielewesha.
Wee Jamaa mshamba sn,denda gn ile wewe?
Nenda igunga huko
Hahaha na wakati ni ishu ya kawaidaWonderful, mtu kaamua kutoa juice ya ulimi jamaa ananuna eti hadi analeta uzi.