Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
denda apigwe lulu, aibu iwapate watanzania 🙂 🙂 tuwe serious kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kukuta mdomo wa Lulu ni kama "testa" ya ladha ya midomo ya washikaji. Akionja mdomo anajua hadi mfukoni kuna dollars ngapi za Zimbabwe. Hahahahaaa!Lulu kapigiwa denda dar aibu tupate tarime[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kapicha?!!...umenkumbusha kuna uzi mmoja kwenye jukwaa JF Doctor mtu alishusha kitu watu wakalalamika kuwekwa picha, mdau mmoja akauliza si huwa kila kitu huwa mnaomba ushahidi sasa huoKapicha plz
Wivu tu, subiri lulu mwenyewe alalamike kama amekwazika, ww ni nani?Huyu jamaa kampiga Denda Elizabeth Michel a.k.a Lulu Jukwaani .
Na amekua akiendelea kumtaja na kumsifia kila dakika .
Sijaona kama ni kitendo cha busara na hekima kabisa.
"Kitendo husika si sehemu ya maadali ya nchi yetu"
Mbaya zaidi leo Umezingua hakuna ulichokifanya !
Kila saa Diamond..
dahWee Jamaa mshamba sn,denda gn ile wewe?
Nenda igunga huko
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] igunga imekukosea nini?Wee Jamaa mshamba sn,denda gn ile wewe?
Nenda igunga huko
Acha wivu mkuu,
Shule mnafungua lin?
UKIONA CHA NINI WENZIO WATAKIPATA LINI TULIZA NANII MSUMARI UINGIE NANI KAKUTUMA KWA WASSANIIHuyu jamaa kampiga Denda Elizabeth Michel a.k.a Lulu Jukwaani .
Na amekua akiendelea kumtaja na kumsifia kila dakika .
Sijaona kama ni kitendo cha busara na hekima kabisa.
"Kitendo husika si sehemu ya maadali ya nchi yetu"
Mbaya zaidi leo Umezingua hakuna ulichokifanya !
Kila saa Diamond..