Eric Omondi umefanya tukio la aibu kwa watanzania

Huyo Lulu anapigwa denda daily, denda la leo we ndo uone aibu
 
sasa kama mtoto anataka denda na ninyi wa TZ mnamchekea si mtuache sie tumkule denda tena mbele yenu? kitendo si maadili ya nchi yenu wakati mnakula denda mpaka tigoni?
 
Pole naona umekuja kwa lori la ng'ombe kutoka Chato, haya sikukuu imekwisha rejea kwenu
 
Ukitaka kupigwa denda we pigwa tu watanzania hatuhusiki
 
ungepigwa wewe denda ndo ingekuwa Aibu , hivi wewe unajuwa niwangapi wanaompiga lulu denda??
 
mkuu sasa hapo unatoka povu LA nini
 
Kubusu ndio iwe tatizo, sema ulitamani upate nafasi hiyo wewe...eeeeh
 
Aah ile alishaivaa kwenye movie yake na joti(sijui movie iliishia wapi)

Angekua na majizo asingejiweka huru kihivyo
Pesa ndo sabuni ya roho utadaka wote hata walio kwenye ndoa zao
Mmhh, ngoja nitafute pesa ntawatafuna wote hao wanaojiita mastar.

Lakini nilisikia hadi nguo ya harusi ilikuwa ready?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…