Eric Omondi umefanya tukio la aibu kwa watanzania

Eric Omondi umefanya tukio la aibu kwa watanzania

Huyo Lulu anapigwa denda daily, denda la leo we ndo uone aibu
 
Huyu jamaa kampiga denda Elizabeth Michel a.k.a Lulu Jukwaani. Na amekua akiendelea kumtaja na kumsifia kila dakika.

Sijaona kama ni kitendo cha busara na hekima kabisa."Kitendo husika si sehemu ya maadili ya nchi yetu"

Mbaya zaidi leo umezingua hakuna ulichokifanya! Kila saa Diamond.
sasa kama mtoto anataka denda na ninyi wa TZ mnamchekea si mtuache sie tumkule denda tena mbele yenu? kitendo si maadili ya nchi yenu wakati mnakula denda mpaka tigoni?
 
Ukitaka kupigwa denda we pigwa tu watanzania hatuhusiki
 
ungepigwa wewe denda ndo ingekuwa Aibu , hivi wewe unajuwa niwangapi wanaompiga lulu denda??
 
mkuu sasa hapo unatoka povu LA nini
 
Kubusu ndio iwe tatizo, sema ulitamani upate nafasi hiyo wewe...eeeeh
 
Aah ile alishaivaa kwenye movie yake na joti(sijui movie iliishia wapi)

Angekua na majizo asingejiweka huru kihivyo
Pesa ndo sabuni ya roho utadaka wote hata walio kwenye ndoa zao
Mmhh, ngoja nitafute pesa ntawatafuna wote hao wanaojiita mastar.

Lakini nilisikia hadi nguo ya harusi ilikuwa ready?
 
Back
Top Bottom