Eric Omondi umefanya tukio la aibu kwa watanzania

Eric Omondi umefanya tukio la aibu kwa watanzania

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Huyu jamaa kampiga denda Elizabeth Michel a.k.a Lulu Jukwaani. Na amekua akiendelea kumtaja na kumsifia kila dakika.

Sijaona kama ni kitendo cha busara na hekima kabisa."Kitendo husika si sehemu ya maadili ya nchi yetu"

Mbaya zaidi leo umezingua hakuna ulichokifanya! Kila saa Diamond.
 
Kampiga saa ngapi mshamba uyo na njaa zake asije kumuambukiza njaa
 
Nafikiri lulu ndio amefanya kitendo cha aibu kwa kukubaliwa kupigwa denda na mpita njia
 
Back
Top Bottom